Kwanini Prince Dube anachezeshwa dakika 90 kila mchezo?

Kwanini Prince Dube anachezeshwa dakika 90 kila mchezo?

Hivi Dube alikua ana fake injury Azam? Mbona tangu atue utopolo haendi tena wodini.

Nb: takwimu zake kwa sasa sio mbaya
fitness haikuwa imara alipokuwa azam,akiguswa kidogo tu chini miezi mitatu nje. Ila alipoingia yanga kwa wakulungwa, kwenye mazoezi makali,presha ya viongozi+mashabiki na gharama za usajili zilizotumika kumsajili ameimarika kwa upande wa majeraha. Ila kwa upande wa ufungaji ni "failure pro max"
 
Dube angalau ameniprove wrong. Na bahati yao wale majirani hawakuleta team, walishtukia mtego.
 
Back
Top Bottom