Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
mkuu mimi ni mwanachama hai na ni mmoja wa viongozi waandamizi wa klabu
HeheheKiongozi mwandamizi umeshindwa kumfata makocha wako, unakuja kulia lia humu jukwaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu mimi ni mwanachama hai na ni mmoja wa viongozi waandamizi wa klabu
HeheheKiongozi mwandamizi umeshindwa kumfata makocha wako, unakuja kulia lia humu jukwaani
Nilishangaa kumuona Ramovic alipokuja tu kawa ndiye chaguo lake la kwanza na kumpa dakika 90 za kucheza nikapata wasiwasi pengine kuna hali ya ushinikizaji wa upangaji wa kikosi. Alipoondoka Ramovic, kwenye mechi dhidi ya Ken Gold nilitaka nithibitishe juu ya kile nilichokuwa ninakihisi ila nilipoona tena Dube yupo first eleven halafu kacheza dakika zote 90 nikahitimisha kuwa upangaji wa kikosi ndani ya Yanga kuna kiongozi anashinikiza kupangwa kwa baadhi ya wachezaji.Tukiacha ushabiki! Mtoa mada una hoja ya msingi sana. Hata mimi nimekuwa nikijiuliza, hivi kweli Prince Dube ana sifa ya kucheza dakika 90 zote za mchezo kwenye mechi za Yanga?
Kweli Prince Dube ana sifa ya kuwa mshambuliaji kiongozi, wa kumsugulisha mpaka Kenned Musonda benchi? Kila ninapojiuliza haya maswali, majibu mara zote huwa yanakuja Hapana!!
Kwa sababu gani? Jibu ni kwamba Prince Dube hana utulivu! Hana stamina! Hana uwezo wa kutumia nafasi anazopata! Hana uwezo wa kuwapangua walinzi kama alivyokuwa akifanya Fiston Mayele, na pia dogo Clement Mzize, ambaye kwa sasa eti anachezeshwa pembeni baada ya Dube kusajiliwa!!
Nina wasiwasi huenda Prince Dube anachezeshwa kutokana maelekezo kutoka juu. Ila siyo kwa sababu tu ya uwezo wake. Nina wasiwasi kama atakuja kubadilika siku za usoni. Ila kama atabadilika kwa kuwa mshambuliaji aliyekamilika (mwenye stamina, utulivu, pace, nk), basi litakuwa ni jambo la heri kwake na pia klabu.
Ila mpaka sasa tukubali tu mchezaji wetu ni tia maji tia maji.
Chaimkuu mimi ni mwanachama hai na ni mmoja wa viongozi waandamizi wa klabu ya YANGA
Jibu swali acha blah blah...Umelipia kadi yako ya uanachama?
Au upo unachambua hata kadi ya uanachama huna
Jean Baleke ni mshambuliaji wa kati aliyekamilika sana ukimlinganisha na Dube. Sijui ni nani alimpiga zengwe kiasi cha kushindwa kupewa nafasi ya kucheza hata kwenye mechi za kawaida kabisa, huku Dube akibebwa kwa kila hali.Nilishangaa kumuona Ramovic alipokuja tu kawa ndiye chaguo lake la kwanza na kumpa dakika 90 za kucheza nikapata wasiwasi pengine kuna hali ya ushinikizaji wa upangaji wa kikosi. Alipoondoka Ramovic, kwenye mechi dhidi ya Ken Gold nilitaka nithibitishe juu ya kile nilichokuwa ninakihisi ila nilipoona tena Dube yupo first eleven halafu kacheza dakika zote 90 nikahitimisha kuwa upangaji wa kikosi ndani ya Yanga kuna kiongozi anashinikiza kupangwa kwa baadhi ya wachezaji.
Uozo anaonesha Dube hakuna kocha anaweza kuvumilia huo upumbavu wake. Hana stamina, hatumii akili, mapepe kibao hatulii na hakai kwenye nafasi. Mzize kamuacha mbali Dube kwa kila kitu uwanjani. Nadhani Baleke angepewa nafasi kama alivyopewa Dube angekuwa na takwimu nzuri kuliko Prince mpumbavuleo Dube
Dube anafanya shughuli nyingi uwanjaniJean Baleke ni mshambuliaji wa kati aliyekamilika sana ukimlinganisha na Dube. Sijui ni nani alimpiga zengwe kiasi cha kushindwa kupewa nafasi ya kucheza hata kwenye mechi za kawaida kabisa, huku Dube akibebwa kwa kila hali.
Watu wanataka magoli Sheikh. Kukimbia kimbia tu hovyo uwanjani kama kuku aliyekatwa shingo, kunaisaidiaje timu kushinda?Dube anafanya shughuli nyingi uwanjani
Anakimbiza sana
Anajua kusimama
Kwa striker kupata hata nafasi ya kukosa goli ni ngumu, najua wengi hamjacheza nafasi hiyo
Japo Dube anakosa confidence
Dube ana utukutu flani wa kukaba na kuwanyima utulivu mabekiJean Baleke ni mshambuliaji wa kati aliyekamilika sana ukimlinganisha na Dube. Sijui ni nani alimpiga zengwe kiasi cha kushindwa kupewa nafasi ya kucheza hata kwenye mechi za kawaida kabisa, huku Dube akibebwa kwa kila hali.
Jifunze kutazama mpira Kwa utulivu utaiona potential ya DubeWatu wanataka magoli Sheikh. Kukimbia kimbia tu hovyo uwanjani kama kuku aliyekatwa shingo, kunaisaidiaje timu kushinda?
Mimi kwenye ukweli huwa sikopeshi. Prince Dube kwenye timu yetu bado anajitafuta. Na kama ana mpango wa kufikia viwango vya Fiston Mayele, basi anatakiwa apambane sana kwenye stamina, pace, na utulivu.
Unajua mpira sana mkuuDube ana utukutu flani wa kukaba na kuwanyima utulivu mabeki
Ni mzuri wa kujiposition
Kwa mfumo wa yanga dube ni false striker kama mdoli wafungaji halisi ni wengine
Na hiyo ndo tofauti ya dube na musonda, dube anafanana na mzize utukutu
Hukuona mechi ya MC ALGER alianzishwa musonda hakuleta impact yoyote
Tatizo la dube kwa sasa ni lile alilopitia mzize miaka michache iliyopita
Avumiliwe
Mchezaji wa kimataifa havumiliki,manake atakuwa amejaza ile list ya wachezaji 12 huku akiwa hana mchango ktk team,kwa mchezaji wa ndani sawa.Dube ana utukutu flani wa kukaba na kuwanyima utulivu mabeki
Ni mzuri wa kujiposition
Kwa mfumo wa yanga dube ni false striker kama mdoli wafungaji halisi ni wengine
Na hiyo ndo tofauti ya dube na musonda, dube anafanana na mzize utukutu
Hukuona mechi ya MC ALGER alianzishwa musonda hakuleta impact yoyote
Tatizo la dube kwa sasa ni lile alilopitia mzize miaka michache iliyopita
Avumiliwe
Timu kutokuwa na strikermakini ni janga la kiduniaMchezaji wa kimataifa havumiliki,manake atakuwa amejaza ile list ya wachezaji 12 huku akiwa hana mchango ktk team,kwa mchezaji wa ndani sawa.
Hayo 7 kayapata kwa kukosa magoli 70Lakini mnasahau Dube ana magoli 7 kama sikosei. Ana mabao mengi.