Kwanini Prison haina mashabiki Mbeya!?

Kwanini Prison haina mashabiki Mbeya!?

Mashujaa ni ya Jeshi lakini ina mashabiki
Mashujaa ipo karibu saana na wananchi kuanzia kuanzishwa kwake miaka ya 2000

Mashujaa haikuanza kama timu ya jeshi

Hapa karibuni zitto kabwe alitaka kuleta siasa lkn akashindwa na timu ikawa chini ya CDF
 
Timu ya jeshi mkuu. Wawe wanawatoa wafungwa siku moja moja kwenye match muhimu wakashanikie mkuu. Waumgane na police mbona mashabiki watatoshA
 
Kila ukiangalia mechi wanazocheza prison huoni mashabiki zaidi ya askari wachache sana wanaoimba na kucheza muda wote wa mechi
Hata ken gold wajuzi wanamashabiki kuliko prison
Tatizo ni Nini!? Na kwa Nini wasihame mkoa angalau waende hata shinyanga wapate mashabiki kuliko mbeya walikompiga Zuchu!?
Anyway hadi Sasa Selemani Mwalim ndie George Mpole wa msimu msimu uliopita alikuwa waziri junior
Waziri Jr ni top striker usimlinganishe na hao wazee wa fluke
 
Mashujaa ipo karibu saana na wananchi kuanzia kuanzishwa kwake miaka ya 2000

Mashujaa haikuanza kama timu ya jeshi

Hapa karibuni zitto kabwe alitaka kuleta siasa lkn akashindwa na timu ikawa chini ya CDF
Alitaka kuleta ujinga maana niuite ujinga ili apate political mileage
 
Wakulaumiwa ni masbabiki wa yanga utopolo Mbeya. Wanashindwaje kutoa support kwa prisons? wakati inawasaidia sana kupunguza point za simba kila musimu? maana wao ni kama tawi la Gsm. waswahili husema nisaidie ni kusaidie, sasa prisons kajikuta yatima kwa sasa. Bora washuke daraja tupunguziwe washindani. Ubaya Ubwela.
 
Kila ukiangalia mechi wanazocheza prison huoni mashabiki zaidi ya askari wachache sana wanaoimba na kucheza muda wote wa mechi
Hata ken gold wajuzi wanamashabiki kuliko prison
Tatizo ni Nini!? Na kwa Nini wasihame mkoa angalau waende hata shinyanga wapate mashabiki kuliko mbeya walikompiga Zuchu!?
Anyway hadi Sasa Selemani Mwalim ndie George Mpole wa msimu msimu uliopita alikuwa waziri junior
Kuna mambo walishauriwa wakadai wao ni timu ya Jeshi, watu wakahamia kuwekeza Mbeya City hadi ikapanda daraja. Ilipopanda daraja Mbeya City, Prisons wakaanza kulalamika kwamba wameiwakilisha Mbeya kwa muda mrefu lakini watu hawaipi heshima na uungeaji mkono unaostahili, wakatishia tena kwamba wao ni timu ya Jeshi wanawwza wakaondoka Mbeya na kwenda mkoa wowote ule, wakaambiea nendeni.
Wakaamua kuhamia Sumbawanga mkoani Rukwa, msimu uliofuata wakaanza kujitudisha Mbeya, baada ya kurudi tena hati kile kiwango cha uungeaji walichokiona kidogo wakakuta nacho hakipo kabisa.
Inawezekana Prisons walikuwa sawa, sababu Mbeya City, timu iliyoungwa mkono na watu ikaja kwa nguvu na kufanikiwa kupendwa nchi nzima hadi Chama cha ACT kikaamua kutembelea nyota ya Mbeya City kwa kubadili rangi za Chama chao na kuanza kutumia zinazifanana na za Mbeya city, lakini timu hiyo pamoja na kuungwa mkono haikudumu sana sababu aina ya ushauri ulipotumika ndani ya Mbeya city, ulikaribisha siada za mpira badala ya mpira wa maendeleo. Timu ikaanza kufifis, Mbeya wakaanza kuina kama vile timu diyo yao tena, sasa hivi Mbeya City imebaki story na Prison bado ipo.
 
Back
Top Bottom