Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Hivi mbeya city bado ipo?Mbeya kuna shida...
Prisons ikipelekwa Kigoma, Tabora, Singida au Dodoma itapata mashabiki wa kutosha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mbeya city bado ipo?Mbeya kuna shida...
Prisons ikipelekwa Kigoma, Tabora, Singida au Dodoma itapata mashabiki wa kutosha...
Ilishuka darajaHivi mbeya city bado ipo?
Walikuwa na mashabiki wengiIlishuka daraja
Sana mkuuWalikuwa na mashabiki wengi
Mashujaa ipo karibu saana na wananchi kuanzia kuanzishwa kwake miaka ya 2000Mashujaa ni ya Jeshi lakini ina mashabiki
Waziri Jr ni top striker usimlinganishe na hao wazee wa flukeKila ukiangalia mechi wanazocheza prison huoni mashabiki zaidi ya askari wachache sana wanaoimba na kucheza muda wote wa mechi
Hata ken gold wajuzi wanamashabiki kuliko prison
Tatizo ni Nini!? Na kwa Nini wasihame mkoa angalau waende hata shinyanga wapate mashabiki kuliko mbeya walikompiga Zuchu!?
Anyway hadi Sasa Selemani Mwalim ndie George Mpole wa msimu msimu uliopita alikuwa waziri junior
Alitaka kuleta ujinga maana niuite ujinga ili apate political mileageMashujaa ipo karibu saana na wananchi kuanzia kuanzishwa kwake miaka ya 2000
Mashujaa haikuanza kama timu ya jeshi
Hapa karibuni zitto kabwe alitaka kuleta siasa lkn akashindwa na timu ikawa chini ya CDF
Kuna mambo walishauriwa wakadai wao ni timu ya Jeshi, watu wakahamia kuwekeza Mbeya City hadi ikapanda daraja. Ilipopanda daraja Mbeya City, Prisons wakaanza kulalamika kwamba wameiwakilisha Mbeya kwa muda mrefu lakini watu hawaipi heshima na uungeaji mkono unaostahili, wakatishia tena kwamba wao ni timu ya Jeshi wanawwza wakaondoka Mbeya na kwenda mkoa wowote ule, wakaambiea nendeni.Kila ukiangalia mechi wanazocheza prison huoni mashabiki zaidi ya askari wachache sana wanaoimba na kucheza muda wote wa mechi