John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
“I QUIT THE GAME SITAKI TENA MZIKI. F** THIS GAME” Ndiyo ambavyo Prodyuza Yogo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kisha pembeni yake kwenye caption akaongezea kwa kuandika “Too Much Hunting”.
Bado hajaweza sababu hasa za kuamua kufanya hiyo, maamuzi ambayo yanakuja wiki chache tangu akamilishe kusimamia utengenezwaji wa albamu ya Ali Kiba.
Yogo amekuwa karibu na Kiba kiasi cha wengi kumuona ni prodyuza wa msanii huyo, lakini haijajulikana wazi mpaka sasa kama ni kupishana na Kiba au kuna tofauti nyingine yoyote.
Lakini kwa kwa jinsi alivyoelezea ni wazi kuwa sababu za kuandika hayo ni za kimuziki, ndiyo maana akasema F** This Game.
Kabla ya kuwa karibu na Yogo, Ali Kiba alikuwa karibu na Prodyuza Man Walter lakini wawili hao walitibuana na kila mmoja kumrushia maneno mwenzake wakishutumiana.
Unadhani tatizo linaweza kuwa ni wapi, Ali Kiba au muziki umemvuruga tu au ni ishu ya malipo hapo?