Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Jana nmecheki salama na Master J, master anasema kwenye mziki wana faking sana. Watu wanaaminisha watu kuwa mafanikio walionayo yanatokana na mziki wakati watu wa kwenye industry wanajua sio kweli yanatokana na shughuli nyingine.Itakuwa pesa
Unafanya kazi sana
Unambulia maneno,pesa hakuna
Hakuna malipo blah blah tu
Haya mambo ndiyo wakina pfunk wamekuwa wakiyasema
Kwanza siku zote producer anatakiwa awe na hela kuliko msani na producer hatakiwi kumsujudia msanii
Ova
Sasa kama wewe mwanamziki na hujui lazima uchanganyikiwe