hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Prof Janabi Aliweka CV yake mitandaoni kwa bashasha sana, ikiwa imejaa karibu kurasa 18
Huko Instagram na Twitter ilikuwa ni hongera tu zinamwagika
CV yake ilipofika mikononi mwa Great thinker wa JF imechambuliwa kinagaubaga ,
Imeibua mambo mengi yanayoleta maswali ,kwanza kaonekana sio mbobevu wa maswala ya Moyo kama anavyojitanabaisha
Pili haijajulikana U profesa wake kaupatia wapi ,
Kwakweli maswali ni mengi sana
Gafla ameiondoa haraka hiyo CV mitandaoni