Kwanini Prof Janabi kafuta CV yake mitandaoni?

Maisha ni mchakato wenye uhalisia ama nje ya uhalisia na hapa kila mtu anapitia kuna vitu vinaweza kukubeba na uhalisia hauna sifa na mwenye sifa asibe bwe na uhalisia wa jambo lenyewe,, prof kaupiga mwingi kila lakheri kwake acha wenye uhalisia tuzungumze mengi ila ww ni MTEULE
 
Prof Janabi Aliweka CV yake mitandaoni kwa bashasha sana, ikiwa imejaa karibu kurasa 18

Huko Instagram na Twitter ilikuwa ni hongera tu zinamwagika

CV yake ilipofika mikononi mwa Great thinker wa JF imechambuliwa kinagaubaga ,

Imeibua mambo mengi yanayoleta maswali ,kwanza kaonekana sio mbobevu wa maswala ya Moyo kama anavyojitanabaisha

Pili haijajulikana U profesa wake kaupatia wapi ,

Kwakweli maswali ni mengi sana

Gafla ameiondoa haraka hiyo CV mitandaoni
JF ya sasa ina GT wasiozidi 10 kwa sasa. Walio iharibu jf ni hivi vitoto vya juzi hapo. Vinaandika utumbo tu.
 
Prof Janabi Aliweka CV yake mitandaoni kwa bashasha sana, ikiwa imejaa karibu kurasa 18

Huko Instagram na Twitter ilikuwa ni hongera tu zinamwagika

CV yake ilipofika mikononi mwa Great thinker wa JF imechambuliwa kinagaubaga ,

Imeibua mambo mengi yanayoleta maswali ,kwanza kaonekana sio mbobevu wa maswala ya Moyo kama anavyojitanabaisha

Pili haijajulikana U profesa wake kaupatia wapi ,

Kwakweli maswali ni mengi sana

Gafla ameiondoa haraka hiyo CV mitandaoni
Ukiweka CV TZ hadharani hakikisha Ina uhalisia lasivyo litakukuta jambo. Kuna watu vichwa wa kuchambua mambo huwezi kuwapeleleka peleka tu.
 
Acha makasiriko ya kipuuzi,, kosa lake ni nini hapo... Kama ni babaako kiukweli elimu anayo ya kuunga unga...

hamis77
Prof mi labda niwe mdogo wake,am 46yrs, siwezi kuwa mwanae,

Nyie mna chuki binafsi na Janabi,ila jamaa iyo nafasi inamfaa sana,labda mniambie kama kuna hospital ya WHO Janabi anaenda kushinda theater kupasua mioyo ya mashoga wa kizungu na wazayuni hapo sasa itakuwa hoja nyingine,na isitoshe huko kote kitaaluma yuko vizuri sana.
 
waulize watoa hoja ya cv yake
Hakuna cha mtoa hoja, ni kikundi tu cha wahuni wachache ndio wanajaribu kumchafua mzee wa watu, wana ajenda zao binafsi ,wanasukumwa na itikadi na kingine wanahisi labda dikteta wa nchi ya mbali wakati anaumwa alipigwa sindano.......
 
Prof Janabi Aliweka CV yake mitandaoni kwa bashasha sana, ikiwa imejaa karibu kurasa 18

Huko Instagram na Twitter ilikuwa ni hongera tu zinamwagika

CV yake ilipofika mikononi mwa Great thinker wa JF imechambuliwa kinagaubaga ,

Imeibua mambo mengi yanayoleta maswali ,kwanza kaonekana sio mbobevu wa maswala ya Moyo kama anavyojitanabaisha

Pili haijajulikana U profesa wake kaupatia wapi ,

Kwakweli maswali ni mengi sana

Gafla ameiondoa haraka hiyo CV mitandaoni

Kuna vitu alisahau kuweka? Maana kuwa mbobezi unakuwa na mambo mengi sana hayajai kwenye CV
 
Prof mi labda niwe mdogo wake,am 46yrs, siwezi kuwa mwanae,

Nyie mna chuki binafsi na Janabi,ila jamaa iyo nafasi inamfaa sana,labda mniambie kama kuna hospital ya WHO Janabi anaenda kushinda theater kupasua mioyo ya mashoga wa kizungu na wazayuni hapo sasa itakuwa hoja nyingine,na isitoshe huko kote kitaaluma yuko vizuri sana.
. Tuwe na chuki kwa mzee Janabi kwa sababu zipi labda???, WHO siyo tawi la CCM, wekeni mtu sahihi..✍️ ✍️ ✍️ ✍️

. Unawaita mashoga ila kutwa zima mpo bandarini pale na MSD kusubiria dawa kutoka ulaya ili mtibiwe kipindupindu hapo mbagala maji matitu....
 
Back
Top Bottom