Leave him alone!Prof Janabi Aliweka CV yake mitandaoni kwa bashasha sana, ikiwa imejaa karibu kurasa 18
Huko Instagram na Twitter ilikuwa ni hongera tu zinamwagika
CV yake ilipofika mikononi mwa Great thinker wa JF imechambuliwa kinagaubaga ,
Imeibua mambo mengi yanayoleta maswali ,kwanza kaonekana sio mbobevu wa maswala ya Moyo kama anavyojitanabaisha
Pili haijajulikana U profesa wake kaupatia wapi ,
Kwakweli maswali ni mengi sana
Gafla ameiondoa haraka hiyo CV mitandaoni
GT hii hii ya vitoto visivokuwa na adabu au ipi.Prof Janabi Aliweka CV yake mitandaoni kwa bashasha sana, ikiwa imejaa karibu kurasa 18
Huko Instagram na Twitter ilikuwa ni hongera tu zinamwagika
CV yake ilipofika mikononi mwa Great thinker wa JF imechambuliwa kinagaubaga ,
Imeibua mambo mengi yanayoleta maswali ,kwanza kaonekana sio mbobevu wa maswala ya Moyo kama anavyojitanabaisha
Pili haijajulikana U profesa wake kaupatia wapi ,
Kwakweli maswali ni mengi sana
Gafla ameiondoa haraka hiyo CV mitandaoni
So unategemea professa atakua na cv ambayo haijashiba? Hapo ni sawa na unashangaa ng'ombe kula majaniIla jamaa ana cv imeshiba, ishu ni kwenye u specialism wa cardiology
wapo wasomi wakubwa lakini hawana cv iliyoshiba. Umejibu ki povuSo unategemea professa atakua na cv ambayo haijashiba? Hapo ni sawa na unashangaa ng'ombe kula majani
Sawa bibie wamekusikia wahusika.. Tuwe na chuki kwa mzee Janabi kwa sababu zipi labda???, WHO siyo tawi la CCM, wekeni mtu sahihi..✍️ ✍️ ✍️ ✍️
. Unawaita mashoga ila kutwa zima mpo bandarini pale na MSD kusubiria dawa kutoka ulaya ili mtibiwe kipindupindu hapo mbagala maji matitu....
Hao wasomi wakubwa ni wa level gani? Hapa tunazungumzia professsor tena wale wa miaka ile ambayo wasomi walikua wa kuhesabu, ulitegemea CV iwe ndogo?wapo wasomi wakubwa lakini hawana cv iliyoshiba. Umejibu ki povu
Kwani huko WHO anaenda kuwa daktari wa moyo? Kwanini iwe issue Bado sijaelewaIla jamaa ana cv imeshiba, ishu ni kwenye u specialism wa cardiology
Anaenda nàni kamchagua?Kule WHO anakwenda kuwa mtu wa kusimamia policies za WHO Kwa upande wa Kanda ya Africa na sio kushinda wodini.
Ni kweli..Janabi ni mbaya kwa Watanzania...Mbaya wa mtanzania ni mtanzania mwenyewe
Kwanini hawezi kuipata hiyo nafasi?WHO walishaisoma !
Hata hivyo ilikuwa Haina impact !
Hawezi kupata ile nafasi!
Yaani ilipaswa baada ya Rais kusema iwe agenda ya wote kumzungumza vizuri prof maana akishindq yeye Tanzania imeshinda Lakini sivyo kwa baadhi ya watu Hebu tupendane,tuipende nchi yetu.Sio kupinga tu kila kitu .Hakuna cha mtoa hoja, ni kikundi tu cha wahuni wachache ndio wanajaribu kumchafua mzee wa watu, wana ajenda zao binafsi ,wanasukumwa na itikadi na kingine wanahisi labda dikteta wa nchi ya mbali wakati anaumwa alipigwa sindano.......
Nchi ina wajinga wengi,hawajui akipita iyo nafasi ni uwakilishi kwa Nchi na kuna faida lukuki.Yaani ilipaswa baada ya Rais kusema iwe agenda ya wote kumzungumza vizuri prof maana akishindq yeye Tanzania imeshinda Lakini sivyo kwa baadhi ya watu Hebu tupendane,tuipende nchi yetu.Sio kupinga tu kila kitu .
Samia kampendekeza kwa mihemuko yake ya Udini bila uchambuzi makiniProf Janabi Aliweka CV yake mitandaoni kwa bashasha sana, ikiwa imejaa karibu kurasa 18