Kwanini Prof Janabi kafuta CV yake mitandaoni?

Natabiri safari hii tutasindikiza tu kwenye mashindano.
 
Yaani ilipaswa baada ya Rais kusema iwe agenda ya wote kumzungumza vizuri prof maana akishindq yeye Tanzania imeshinda Lakini sivyo kwa baadhi ya watu Hebu tupendane,tuipende nchi yetu.Sio kupinga tu kila kitu .
Ndugulile nae alizungumzwa vibaya na waTZ kwa kiwango kama cha Janabi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…