KishkwambiX
Member
- Jul 17, 2020
- 6
- 12
ni kweli lakini kwa mimi ninavyoona kwenye vyuo vyetu wakufunzi wengi walisoma elimu ya computer miaka iyo lakini pia waliosoma miaka hii ya saivi hawapo vizuri kwenye codingUshawishi au uhamasishaji umekua hafifu...
Fafanua vizuri mkuu umeweka hili suala too general. Programming watu wanasoma chuo wengine ni self taught ni nini ulikuwa unataka watu wakashindwa kufanya.Tanzania nchi yetu hakika programming imekuwa shida haswa kwa vyuo vyetu shida ni nn? Walimu wabobezi hatuna au watanzania wagumu kufikiri?
Fafanua vizuri mkuu umeweka hili suala too general. Programming watu wanasoma chuo wengine ni self taught ni nini ulikuwa unataka watu wakashindwa kufanya.
Kuna code ulitaka watu wavunje au nini kwa sababu watu wanatengeza programs kila uchao. Kiukweli sijakupata au mpaka usikie cybercrime on codes ndo uone watu wanashughulika. Tafadhali jibu.
nakubaliana na wewe hakika msingi hatuna wengi wetu tunaanza kuizingatia programming baada ya kufika chuo au baada kumuona mtu alietoka chuoHatuna msingi mzuri toka mwanzo,nchi nyingine watu huanza kusoma programming na computer studies kuanzia msingi, hivo vijana hao huwa vizuri zaid hata wakifika chuo compared na sisi
Low resource country mkuu ni kweli kuhusu computer studies. Ila programming is far beyond Computer Studies.Hatuna msingi mzuri toka mwanzo,nchi nyingine watu huanza kusoma programming na computer studies kuanzia msingi, hivo vijana hao huwa vizuri zaid hata wakifika chuo compared na sisi
Low resource country mkuu ni kweli kuhusu computer studies. Ila programming is far beyond Computer Studies.s
wanamwambia wekulaga toturial wenyewe hawana mpango?Tanzania nchi yetu hakika programming imekuwa shida haswa kwa vyuo vyetu shida ni nn? Walimu wabobezi hatuna au watanzania wagumu kufikiri?
Fafanua hapa kiidooogo alafu turudi kwenye mstarimobile app za watz ni za kawaida wengi sio wabobevu wa kutumia library etc
wanamwambia mwanafunzi we kulaga toturial mwenyewe, wao (walimu) hawana mpango?wanamwambia wekulaga toturial wenyewe hawana mpango?
Ulienda kuomba job wapi mkuuNilikua sijui C#, C++, PHP, JAVA, jQuery, JavaScript, Visual Basic, Python, CSS & HTML nilijifunza alone Ila nilichokuja kugundua hizO zote ni cha mtoto ukienda kuomba job unaulizwa unajua kutumia Flutter, React Native, B4X, Angular, jQuery Mobile, Stylify, Fuse, Sciter, Polymer, MonoDevelop, ASP.NET Core, Electron, Felgo, Native Script, Quasar Framework
Ila sana sana wanakuuliza unajua Flutter au Angular,
I'm Out
Siku hizi program zote zinajifanya zenyewe kupitia open ai chat gpt, iambie kwa lugha yakawaida tu inakupa vitu.Tanzania nchi yetu hakika programming imekuwa shida haswa kwa vyuo vyetu shida ni nn? Walimu wabobezi hatuna au watanzania wagumu kufikiri?
Tatizo linakuja kwenye ku update na ku secure baada ya ugunduzi na pili hio haipo creative at allSiku hizi program zote zinajifanya zenyewe kupitia open ai chat gpt, iambie kwa lugha yakawaida tu inakupa vitu.
Endelea kufikiri "out of the box" na uyajuayo. Hakuna matata.Tatizo linakuja kwenye ku update na ku secure baada ya ugunduzi na pili hio haipo creative at all
Yaani ipo specific to some resources haiwezi kufikiri out of the box 🗃️🗃️
United Nations Umoja wa Mataifa UNESCOUlien
Ulienda kuomba job wapi mkuu
Inakupa vitu gani nikitaka wali Samaki itanipa?Siku hizi program zote zinajifanya zenyewe kupitia open ai chat gpt, iambie kwa lugha yakawaida tu inakupa vitu.
Achana nae Haelewi asemacho huyo mtu kasomea electrical engineering miaka ya 80's huko umweleze hivi vitu atakuelewa hajawahi hata kucode "hello world" ye kila anachoona google anakubali tu 🗺️🤣🤣🤣Inakupa vitu gani nikitaka wali Samaki itanipa?
Majengo yao yapo wapi mkuuu kwa hapa dsmUnited Nations Umoja wa Mataifa UNESCO