Kwanini programming code ni shida?

Kwanini programming code ni shida?

Hio ni more than text editor, si hua tunaitumia kwenye JAVA ushasahau ?
Broo hii elimu ya bongo yaan!
watu wanatoka na degree ya Computer Science/ IT hawajui hata html, php..... sembuse nahayo maJAVA.

Mana kunajamaa wanakujaga likizo nawauliza wanisaidie vitu vidogo sana but daaa... visingizio vingi!
 
🤣🤣🤣🤣 Haya mambo usipojiongeza umekwisha mkuuuu 😆😆
 
Back
Top Bottom