Kwanini programming code ni shida?

Kwanini programming code ni shida?

Yaani ipo specific to some resources haiwezi kufikiri out of the box 🗃️🗃️
Nilipokua najifunza code nilikua napenda sana kutumia notepad ya computer nikawa nakimbia sublime, notepad ++ & visual studio code sababu ukizitumia sana ingawa sawa zinarahisisha kazi Ila pia zinalemaza ubongo
 
Nilikua sijui C#, C++, PHP, JAVA, jQuery, JavaScript, Visual Basic, Python, CSS & HTML nilijifunza alone Ila nilichokuja kugundua hizO zote ni cha mtoto ukienda kuomba job unaulizwa unajua kutumia Flutter, React Native, B4X, Angular, jQuery Mobile, Stylify, Fuse, Sciter, Polymer, MonoDevelop, ASP.NET Core, Electron, Felgo, Native Script, Quasar Framework

Ila sana sana wanakuuliza unajua Flutter au Angular,

I'm Out
Nchi hiii hii au Anga za mbali?
 
Nilipokua najifunza code nilikua napenda sana kutumia notepad ya computer nikawa nakimbia sublime, notepad ++ & visual studio code sababu ukizitumia sana ingawa sawa zinarahisisha kazi Ila pia zinalemaza ubongo
How ukitaka usilemae ubongo utumie nn sasa mkuuuu 🤔
 
Wanaweka kwenye website unatumia kwa email kazi ilikua masuala programmers experience kidogo Ila Languages na Kuna zile wanaita added advantages km zote
Oh sawasawa kwaiyo kama ungepata ungefanya kazi zao online sio

Mshahara ulikua sh ngapi mkuu
 
Nchi hiii hii au Anga za mbali?
Mkuu angalia kazi za bank km NMB upande wa programmers utaona kitu, kuna kaelimu fulani wanataka uwe nako na hako kaelimu hauwezi ukakapata darasani lazima uwe hustler wa kujipambania kivyako cheti chako weka pembeni una GPa ya 4.9 Ila hujui Python, hujui Flutter, hujui Angular utarudi na vyeti vyako nyumbani
 
Jamani nitumieni codes za Boostrap5-image automatic sliding mnayotumia ili nicopy na kupaste kwenye website ninayocreate.....

mana niliyodownload naona inanizingua, nilivyopaste na kuedit ilinionesha picha tano zipo tu zimesimama vertically na hazimove!

Jamani, me sio programmer ila najifunza mwenyewe kupitia mitandao kwani nimeingia kuipendapenda hii fun, so msaada wenu nimuhimu!
 
😄😄😄 nitajua tyu mana wadau mpo
 
Ingia hii link uchukue
 
Tanzania nchi yetu hakika programming imekuwa shida haswa kwa vyuo vyetu shida ni nn? Walimu wabobezi hatuna au watanzania wagumu kufikiri?
Waalimu ama wakutubi ndo wa kuchunguzwa uwezo wao.

Mtaala unaweza kuwa mzuri lakini shida ni feeders
 
Back
Top Bottom