Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
sawa bossIngia hii link uchukue
Bootstrap Slideshow - free examples & tutorial
Responsive Slideshow built with Bootstrap 5. Examples of adding controls, slideshow buttons: square and rounded, dark variant, automatic slide and more.mdbootstrap.com
NetBeans sijaiona mkuu π jokingVs code, notepad, devops c and c++, android studio
Si ndo hivyo badala unieleweshe unasema nina kichwa kigumu we ulimwaga madini vizuri unapungukiwa nn kwaniNetBeans sijaiona mkuu π joking
Hio ni more than text editor, si hua tunaitumia kwenye JAVA ushasahau ?Si ndo hivyo badala unieleweshe unasema nina kichwa kigumu we ulimwaga madini vizuri unapungukiwa nn kwani
Broo hii elimu ya bongo yaan!Hio ni more than text editor, si hua tunaitumia kwenye JAVA ushasahau ?
Java android studio inatosha MbonaHio ni more than text editor, si hua tunaitumia kwenye JAVA ushasahau ?
π€£π€£π€£π€£ Haya mambo usipojiongeza umekwisha mkuuuu ππBroo hii elimu ya bongo yaan!
watu wanatoka na degree ya Computer Science/ IT hawajui hata html, php..... sembuse nahayo maJAVA.
Mana kunajamaa wanakujaga likizo nawauliza wanisaidie vitu vidogo sana but daaa... visingizio vingi!
π€£Nchi hiii hii au Anga za mbali?