patience96
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,353
- 574
Raia wa msumbiji anaitwaje?
Ewaa apo sasa, na raia wa Afrika ya Kusini je?Raia wa msumbiji anaitwaje?
Raia wa msumbiji anaitwaje?
Ewaa apo sasa, na raia wa Afrika ya Kusini je?
Hii mrwanda,warwanda ndio sahihi.Heshima kwenu wakuu!
Nauliza, hivi kwanini raia wa nchi jirani ya Rwanda wanajulikana kama Wanyarwanda na si Warwanda?
Nauliza, kwanini raia wa nchi ya Rwanda wasiitwe Warwanda?
Labda ni kwasababu ya Lugha waongeayo inayojulikana kama "Kinyarwanda/chinyarwanda" ingawa sina uhakika sana labda tuvute subira wataalamu wa lugha waje.
Maana si ajabu kusikia raia wa kigeni akituita watanzania ni waswahili kwasababu tunaongea Kiswahili.
Raia wa msumbiji anaitwaje?
Wamachinga au Wareno Weusi
Ewaa apo sasa, na raia wa Afrika ya Kusini je?
Umeongea kiswahili kigumu kweli!warwandwa ndio sahihi...eti sio wote warwandwa wanazungumza kinyarwanda kuitwa kinyarwanda.
Heshima kwenu wakuu!
Nauliza, hivi kwanini raia wa nchi jirani ya Rwanda wanajulikana kama Wanyarwanda na si Warwanda?
Ebu angalia majina ya raia wa nchi zifuatazo wanavyotambulika kutokana na mataifa yao:
Tanzania - Watanzania
Kenya - Wakenya
Uganda - Waganda
Somalia - Wasomali
Marekani - Wamarekani
Urusi - Warusi
Ufaransa - Wafaransa
Japani - Wajapani
Ureno - Wareno
Kongo - Wakongo
India - Wahindi nk.