Kwanini raia wa Rwanda, wasiitwe Warwanda?

Kwanini raia wa Rwanda, wasiitwe Warwanda?

patience96

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
1,353
Reaction score
574
Heshima kwenu wakuu!

Nauliza, hivi kwanini raia wa nchi jirani ya Rwanda wanajulikana kama Wanyarwanda na si Warwanda?

Ebu angalia majina ya raia wa nchi zifuatazo wanavyotambulika kutokana na mataifa yao:

Tanzania - Watanzania
Kenya - Wakenya
Uganda - Waganda
Somalia - Wasomali
Marekani - Wamarekani
Urusi - Warusi
Ufaransa - Wafaransa
Japani - Wajapani
Ureno - Wareno
Kongo - Wakongo
India - Wahindi nk.

Nauliza, kwanini raia wa nchi ya Rwanda wasiitwe Warwanda?
 
Labda ni kwasababu ya Lugha waongeayo inayojulikana kama "Kinyarwanda/chinyarwanda" ingawa sina uhakika sana labda tuvute subira wataalamu wa lugha waje.

Maana si ajabu kusikia raia wa kigeni akituita watanzania ni waswahili kwasababu tunaongea Kiswahili.
 
Heshima kwenu wakuu!

Nauliza, hivi kwanini raia wa nchi jirani ya Rwanda wanajulikana kama Wanyarwanda na si Warwanda?

Nauliza, kwanini raia wa nchi ya Rwanda wasiitwe Warwanda?
Hii mrwanda,warwanda ndio sahihi.

Lakini hizi mtu za Rwanda zinapenda kufanya ile kitu ya kuchoo ndio sababu wanapenda kuweka hiyo "nya" ili kuonesha umahiri wa hiyo shuguli ya "toilet".
 
Labda ni kwasababu ya Lugha waongeayo inayojulikana kama "Kinyarwanda/chinyarwanda" ingawa sina uhakika sana labda tuvute subira wataalamu wa lugha waje.

Maana si ajabu kusikia raia wa kigeni akituita watanzania ni waswahili kwasababu tunaongea Kiswahili.

Utakuwa haupo mbali mkuu ITEGAMATWI,muhimu kufahamu haya majina ya watu wa mataifa mbalimbali yalitolewa kutokana na Lugha wanayozungumza au jina la nchi yao au yote mawili? maana ukifuatilia majina ya hwa jamaa zetu wa jirani Wanyarwanda ( huongea Chinyarwanda/Kinyarwanda) Warundi (Chirundi/ Kirundi) Waganda ( Luganda/Kiganda) utagundua majina yao yametokana na lugha wanazozungumza.
 
Last edited by a moderator:
warwandwa ndio sahihi...eti sio wote warwandwa wanazungumza kinyarwanda kuitwa kinyarwanda.
 
Mkuu MWENDAKULIMA uko sahihi!

"The starting point of all achievement is desire. Keepthis constantly in mind. Weak desires bring weak results, just as a smallamount of fire makes a small amount of heat"
 
Heshima kwenu wakuu!

Nauliza, hivi kwanini raia wa nchi jirani ya Rwanda wanajulikana kama Wanyarwanda na si Warwanda?

Ebu angalia majina ya raia wa nchi zifuatazo wanavyotambulika kutokana na mataifa yao:

Tanzania - Watanzania
Kenya - Wakenya
Uganda - Waganda
Somalia - Wasomali
Marekani - Wamarekani
Urusi - Warusi
Ufaransa - Wafaransa
Japani - Wajapani
Ureno - Wareno
Kongo - Wakongo
India - Wahindi nk.

Nauliza, kwanini raia wa nchi ya Rwanda wasiitwe Warwanda?

1. Umunyarwanda | TheRwandan.com mu kinyarwanda
www.therwandan.com/ki/Cached
You +1'd this publicly. Undo
Photo: Ally Yusuf Mugenzi Kuri uyu wa gatandatu tariki ya 23 Gashyantare 2013, Radio BBC Gahuza-Miryango mu kiganiro cyayo Imvo n'imvano, cyari ...
Amakuru - Ibihwihwiswa - Politiki - Rihanna aravuguruza ...

Raia wa nchi ya Rwanda, kwao (Rwanda) wanajulikana kama "Umunyarwanda" yaani mtu wa Rwanda. Kutokana na sarufi ya lugha yao, neno "nya" linatangulia neno Rwanda ili mtu atambulike kuwa ni wa nchi ya Rwanda; Hivyo si sahihi sana kusema : mnyarwanda, yaani mtu wa Rwanda.
UMUNYARWANDA = MTU WA RWANDA
KINYARWANDA = LUGHA YA RWANDA.
 
Heshima kwenu wakuu!

Nauliza, hivi kwanini raia wa nchi jirani ya Rwanda wanajulikana kama Wanyarwanda na si Warwanda?

Ebu angalia majina ya raia wa nchi zifuatazo wanavyotambulika kutokana na mataifa yao:

Tanzania - Watanzania
Kenya - Wakenya
Uganda - Waganda
Somalia - Wasomali
Marekani - Wamarekani
Urusi - Warusi
Ufaransa - Wafaransa
Japani - Wajapani
Ureno - Wareno
Kongo - Wakongo
India - Wahindi nk.

Nauliza, kwanini raia wa nchi ya Rwanda wasiitwe Warwanda?

Wakongomani
 
Back
Top Bottom