patience96
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,353
- 574
Heshima kwenu wakuu!
Nauliza, hivi kwanini raia wa nchi jirani ya Rwanda wanajulikana kama Wanyarwanda na si Warwanda?
Ebu angalia majina ya raia wa nchi zifuatazo wanavyotambulika kutokana na mataifa yao:
Tanzania - Watanzania
Kenya - Wakenya
Uganda - Waganda
Somalia - Wasomali
Marekani - Wamarekani
Urusi - Warusi
Ufaransa - Wafaransa
Japani - Wajapani
Ureno - Wareno
Kongo - Wakongo
India - Wahindi nk.
Nauliza, kwanini raia wa nchi ya Rwanda wasiitwe Warwanda?