econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon kinawafanya raia wa nchi nyingine ya Syria kushangilia. Tena wakisema Allahu Akbar!!!.
Mwenye jibu anisaidie.
Mwenye jibu anisaidie.