Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani yeye Houthi huwatetea, Hezbollah huwatetea, Taleban huwa tetea,hamas huwatetea,boko Haram huwa tetea, alqaida huwa tetea. Yaaaani huwa simuelew akili zake zipo kama Ayatollah anataka wote tuwe waislamuHuyo huwa anaendeshwa na mihemko
Huwa sikisii:Wewe wasema. Kumbuka Hizbollah iliingia kupambana na vikundi huko Syria.
Yaani yeye Houthi huwatetea, Hezbollah huwatetea, Taleban huwa tetea,hamas huwatetea,boko Haram huwa tetea, alqaida huwa tetea. Yaaaani huwa simuelew akili zake zipo kama Ayatollah anataka wote tuwe waislamu
DaaahNi mdini na yupo uninformed. Yeye ilimradi ni kikundi Cha kiislamu hajali.
Huwa sikisii:
View: https://www.youtube.com/live/B5HCCjA42rA?si=cwpiSYAt0A56uTn5
Hayo huwezi kuyapata kwenye media za mazayuni na mabwabwa wenzao. Hata hii niliyoiweka wakiiona imevuja itafutwa haraka sana.
Tatizo lako huelewi hata Syria wanachogombania ni nini.
Kuuliza si ujinga.
Walewale tu. Hwo wapo controlled kwa remote na Wamarekani.Mimi huwa naangalia Al Jazeera ya Qatar
Mtu wa mpwapwa Dodoma anaposhabikia Hezbollah anakuwa na interest zipi? NISAIDIE NDUGU YANGU USINICHOKE
Daaah! Wote wanaoishabikia Hezbollah ni wapumbavu wao na wazazi waoAnakuwa Hana interest zaidi ya ushabiki wa kijinga. Hizbollah imeifanya Lebanon Kama koloni lake. Yani Hizbollah Wana nguvu kuliko jeshi la Taifa na pia Wana mamlaka kuliko serikali. Kama hawamtaki Waziri Mkuu wa Lebanon wanamuua Kama walivyofanya kwa Waziri Mkuu wa Lebanon Rafeek Hariri aliyeuawa na Hizbollah kisa alitofautiana nao. Ni kama Tanzania kuwepo na JWTZ na jeshi la watu wasio julikana, na jeshi la watu wasiojulikana liwe na nguvu kuliko JWTZ. Ukijifanya unawapinga wanakumaliza na hakuna wakuwafanya lolote.
Hivyo, Israel ikiwamaliza Hawa Hizbollah itakuwa imerudisha heshima ya Lebanon na serikali yake. Kwa maana nyingine serikali itafanya kazi kwa uhuru na jeshi litakuwa na nguvu ya kulinda mipaka ya nchi.
Hizbollah ni mshrika wa wa rais wa Syia, Asad. Chini ya huyu kiongozi, Hizbollar imepeleka wapiganaji wengi Syria kwenda kumsaidia Asad kupigana na wananachi wanaompinga.Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon kinawafanya raia wa nchi nyingine ya Syria kushangilia. Tena wakisema Allahu Akbar!!!.
Mwenye jibu anisaidie.
Hezbollah ni jeshi la Iran lenye lengo la kuwanyang'anya Wayahudi Ardhi yaoHemu nisaidie role ya Hezbollah hapo Mashariki ya kati ni ipi? Hemu nieleweshe vzr kabsa nielewe vyema naje uwepo wake una tija kuliko kisingekuwepo hiki kikundi? Tija nina maanisha amani na ustawi wa Mashariki ya kati