Kwanini Raia wa Syria wanashangilia kifo Cha Nasrallah?

Kwanini Raia wa Syria wanashangilia kifo Cha Nasrallah?

Wewe ni mpumbavu , unajua maana ya Gaidi wewe ,,?
Unajua ni mission gani Hezbollah wameshiriki hapo mashariki ya kati hasa Syria wewe ,zoba ?
Gaidi anapigana na ISIS na Al nusra ,(Alqaida branch) iliyofadhiliwa na Marekani ili kuiangusha serikali ya Assad ?
Muwe mnatafiti mambo na kuacha kuandika upuuzi

Baadae ikawaje?
 
Lakin kabla ya hayo makundi kuingia hapo Syria ukweli ni kwamba watu walikuwa wamechoshwa na utawala wa Assad na walitaka mageuzi katika kipind kile cha arabs spring.

Kweli kabisa mkuu
 
Yan islamic countries ni rahisi sn kuwatawala na kuwapiganisha, ww cheza na sunn na Shia, sambaza propaganda Kwa Wasunni kuwa rais ni Mshia anawapendelea washia, hilo Tu, watarudi kwenye Quran then watakuja na adhabu Rais apindulie na kuuwawa.

Ww kaa pembeni Kula fegi, utaona wanavyouana, then baadae jiokotee mafuta utakavyo, waunge mkono wassuni walioshika madaraka baada ya vita.

Njoo tena baadae wape silaha washia kumbuka Wana visasi mioyoni mwao juu ya kutolewa Rais wao, vita vitaanza tena and vice versa is true and working.

Vitabu vyao vinawadanganya sn , just check wanachoamini now, Kwa Israel hawaitanbui wakati Quran inawataja na kuwatambua.

Nafikiri uwezo mdogo wa waraabu katika elimu dunia ndo shida.

Kweli kabisa mkuu
 
Wewe ni mpumbavu , unajua maana ya Gaidi wewe ,,?
Unajua ni mission gani Hezbollah wameshiriki hapo mashariki ya kati hasa Syria wewe ,zoba ?
Gaidi anapigana na ISIS na Al nusra ,(Alqaida branch) iliyofadhiliwa na Marekani ili kuiangusha serikali ya Assad ?
Muwe mnatafiti mambo na kuacha kuandika upuuzi
Hemu nisaidie role ya Hezbollah hapo Mashariki ya kati ni ipi? Hemu nieleweshe vzr kabsa nielewe vyema naje uwepo wake una tija kuliko kisingekuwepo hiki kikundi? Tija nina maanisha amani na ustawi wa Mashariki ya kati
 
Propaganda hizo.

Wasyria qanashangilia kusambaratishwa ngome (base) ya marekani iliyopo Syria, inayoitwa conoco.

Mazayuni mabwabwa wenzao hawaleti hizo habari. Marufuku.

Ngome hiyo imesambaratishwa kiasi ambacho haijulikani nani au wangapi wametoka salama.

Wasyria walipokuwa wanashangilia hilo wabakaji wa habari wakaligeuza.
Lakini wewe binafsi uliwacheza watu waliposema gaidi kiongozi wa Hezbollah kafa that means na wewe ni mbaka taarifa hukutaka kuamini kama bwana yako kafa
 
Mkuu zhang laoshi Salam kwako. Hivi Wasuni na Washia utofauti wao si unatokana tu mitizamo michache juu ya Quran? Mbona ulivyoeleza hapa inaonekana issue sio mitizamo (perspective) juu ya Quran bali uadui na visasi? Je mkuu zhang laoshi Quran inaruhusu Uadui & Visasi? Je wakuu wote akiwamo FaizaFixy naomba kuelimishwa hivi kwenye kuiamamini Quran, mtume na zile Sala tano hakuna provision ya mtu kupata Devine editing ya Moyo wake ili usiwe pahala pa shetani kupajaza uadui, visasi na magomvi? Kwa mtizamo wangu tatizo kuu la mwanadamu ni uovu wa Moyo na sio mtizamo.
Ahsante​

Tatizo Kuna fanatics pande zote wanaokuza hizo tofauti mpaka kupelekea kupigana. Yani wanabadilisha tofauti ya kiimani kuwa uadui.
 
Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon kinawafanya raia wa nchi nyingine ya Syria kushangilia. Tena wakisema Allahu Akbar!!!.

Mwenye jibu anisaidie.
Pengine alikuwa kama bashite au mavwele
 
Khaaa migogoro huko mashariki kati nitakuja kuisha.....milele Amina wana visasi kibaooo Karne kwa karne

Vitaisha Kama watakubali kukaa na kuzungza baadala ya vita. Shida hakuna anayetaka kukaa na kuzungumza.
 
Propaganda hizo.

Wasyria qanashangilia kusambaratishwa ngome (base) ya marekani iliyopo Syria, inayoitwa conoco.

Mazayuni mabwabwa wenzao hawaleti hizo habari. Marufuku.

Ngome hiyo imesambaratishwa kiasi ambacho haijulikani nani au wangapi wametoka salama.

Wasyria walipokuwa wanashangilia hilo wabakaji wa habari wakaligeuza.

Wewe wasema. Kumbuka Hizbollah iliingia kupambana na vikundi huko Syria.
 
Hemu nisaidie role ya Hezbollah hapo Mashariki ya kati ni ipi? Hemu nieleweshe vzr kabsa nielewe vyema naje uwepo wake una tija kuliko kisingekuwepo hiki kikundi? Tija nina maanisha amani na ustawi wa Mashariki ya kati

Hizbollah kilianzishwa kwenye miaka ya 80 wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe kule Lebanon. Kule Lebanon Kuna mgawanyiko wa Sunni, Shida na wakristo. So Hizbollah wapo kwa niaba ya washia, Yani kulinda interests za washia.
 
Back
Top Bottom