Kwani hujui mziki wa Hezbollah wakati wanapambana na US funded thugs /rebels na ISIS Kyle Syria kipindi kile cha Syrian war ,?Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon kinawafanya raia wa nchi nyingine ya Syria kushangilia. Tena wakisema Allahu Akbar!!!.
Mwenye jibu anisaidie.
Wewe ni mpumbavu , unajua maana ya Gaidi wewe ,,?Hawapendi ugaidi
Lakin kabla ya hayo makundi kuingia hapo Syria ukweli ni kwamba watu walikuwa wamechoshwa na utawala wa Assad na walitaka mageuzi katika kipind kile cha arabs spring.Wewe ni mpumbavu , unajua maana ya Gaidi wewe ,,?
Unajua ni mission gani Hezbollah wameshiriki hapo mashariki ya kati hasa Syria wewe ,zoba ?
Gaidi anapigana na ISIS na Al nusra ,(Alqaida branch) iliyofadhiliwa na Marekani ili kuiangusha serikali ya Assad ?
Muwe mnatafiti mambo na kuacha kuandika upuuzi
Hawa kwanini wanatofautiana sababu ni niniSunni hao na wale ni shia....Angalia mavazi yao ndio utajua .
hizi dini bwana ni full of bullshits yaan they hate each othersSunni hao na wale ni shia....Angalia mavazi yao ndio utajua .
Umepaniki sana dogo. Issue hapo ni ugaidi tuWewe ni mpumbavu , unajua maana ya Gaidi wewe ,,?
Unajua ni mission gani Hezbollah wameshiriki hapo mashariki ya kati hasa Syria wewe ,zoba ?
Gaidi anapigana na ISIS na Al nusra ,(Alqaida branch) iliyofadhiliwa na Marekani ili kuiangusha serikali ya Assad ?
Muwe mnatafiti mambo na kuacha kuandika upuuzi
Hata raia wa Lebanon pia wanashangiliaBaada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon kinawafanya raia wa nchi nyingine ya Syria kushangilia. Tena wakisema Allahu Akbar!!!.
Mwenye jibu anisaidie.
Yan islamic countries ni rahisi sn kuwatawala na kuwapiganisha, ww cheza na sunn na Shia, sambaza propaganda Kwa Wasunni kuwa rais ni Mshia anawapendelea washia, hilo Tu, watarudi kwenye Quran then watakuja na adhabu Rais apindulie na kuuwawa.
Ww kaa pembeni Kula fegi, utaona wanavyouana, then baadae jiokotee mafuta utakavyo, waunge mkono wassuni walioshika madaraka baada ya vita.
Njoo tena baadae wape silaha washia kumbuka Wana visasi mioyoni mwao juu ya kutolewa Rais wao, vita vitaanza tena and vice versa is true and working.
Vitabu vyao vinawadanganya sn , just check wanachoamini now, Kwa Israel hawaitanbui wakati Quran inawataja na kuwatambua.
Nafikiri uwezo mdogo wa waraabu katika elimu dunia ndo shida.
Propaganda hizo.Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon kinawafanya raia wa nchi nyingine ya Syria kushangilia. Tena wakisema Allahu Akbar!!!.
Mwenye jibu anisaidie.