Kwanini Raia wa Syria wanashangilia kifo Cha Nasrallah?


Baadae ikawaje?
 
Lakin kabla ya hayo makundi kuingia hapo Syria ukweli ni kwamba watu walikuwa wamechoshwa na utawala wa Assad na walitaka mageuzi katika kipind kile cha arabs spring.

Kweli kabisa mkuu
 

Kweli kabisa mkuu
 
Hemu nisaidie role ya Hezbollah hapo Mashariki ya kati ni ipi? Hemu nieleweshe vzr kabsa nielewe vyema naje uwepo wake una tija kuliko kisingekuwepo hiki kikundi? Tija nina maanisha amani na ustawi wa Mashariki ya kati
 
Lakini wewe binafsi uliwacheza watu waliposema gaidi kiongozi wa Hezbollah kafa that means na wewe ni mbaka taarifa hukutaka kuamini kama bwana yako kafa
 

Tatizo Kuna fanatics pande zote wanaokuza hizo tofauti mpaka kupelekea kupigana. Yani wanabadilisha tofauti ya kiimani kuwa uadui.
 
Pengine alikuwa kama bashite au mavwele
 
Khaaa migogoro huko mashariki kati nitakuja kuisha.....milele Amina wana visasi kibaooo Karne kwa karne

Vitaisha Kama watakubali kukaa na kuzungza baadala ya vita. Shida hakuna anayetaka kukaa na kuzungumza.
 

Wewe wasema. Kumbuka Hizbollah iliingia kupambana na vikundi huko Syria.
 
Hemu nisaidie role ya Hezbollah hapo Mashariki ya kati ni ipi? Hemu nieleweshe vzr kabsa nielewe vyema naje uwepo wake una tija kuliko kisingekuwepo hiki kikundi? Tija nina maanisha amani na ustawi wa Mashariki ya kati

Hizbollah kilianzishwa kwenye miaka ya 80 wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe kule Lebanon. Kule Lebanon Kuna mgawanyiko wa Sunni, Shida na wakristo. So Hizbollah wapo kwa niaba ya washia, Yani kulinda interests za washia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…