Kwanini Raia wa Syria wanashangilia kifo Cha Nasrallah?

Na sababu ya kuchukiana ni ndogo Sana. Wanapishana kwenye mrithi halali wa Mtume Muhammad ni nani.
kiufupi kila mmoja anajiona yupo sahihi

ni sawa na wasabato na makanisa mengine ya kikrito kuhusu siku ya kuabudu na ulaji wa vyakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…