Kwanini Rais akitaka kufanya jambo anazunguka sana kupata uhalali?

Watuzuge koote lakini sio ishu ya SABAYA huyu jamaa asipopigwa hata maiaka kumu gerezani watanzania hatuto muelewa kabisa
Yule hujaona mashtaka yake ni ya hela, tena milioni 90. Hizo atalipa na kuachiwa!
 
Mama ni weak mno and soft, in short huwa hajiamini, ni MTU wa michakato km awamu ya 4. Expect nothing new within this 4 years. Dalili za mvua ni mawingu mkuu. First impression matters a lot, mama ashasomwa tayari na subordinates, wanajua hajui vitu vingi, na siyo mfuatiliaji, expect atakuwa anaingizwa choo cha kiume na matango pori ya kufa mtu.
 
Kwenye nukta yako namba mbili nikukumbushe tu hayo mengine uloyataja ni mambo ambayo yapo kwa kila mmoja...! Mf.. Suala la kunawa maji churuzika halihitaji serikali ikusimamie, aidha suala la chanjo sio la mtu mmoja mmoja bali serikali ndio mwenye jukumu hilo moja kwa moja.

Aidha kwa kile ulichokiita zuga na mifano iloitoa sijaona muunganiko wake. Nikukumbushe tu kuwa unapotaka kuvuka mtari lazima ujiandae..., kama umevaa kanzu au msuli huna budi kukunja kwanza ili usipate ajali. Ninachokiona kwa Mama yeye hakurupuki kutaka kuruka tu maadamu anaweza kufika ng'ambo ya pili, bali hujiandaa nakuweka mazingira sawa kwanza na huo ndii sisi watu wa pwani tunaita uungwana.
 
Wewe utaacha lini upuuzi wako?
 
Huo ndio utawala bora unaozingatia sheria na ushauri jambo ambalo watanzania wengi hamjazoea. Mmezoea kunyanyaswa na kukokotwa na hamuoni raha bila kufanyiwa hivyo.
 
Hiyo unasema ilikuwa "inafahamika" kuwa hataki machinga, kuwa anataka chanjo nk. Ilikuwa ikifahamika na nani ? Toka lini ? Msingi wa kufahamu huko ulikuwa na upi ? Kwani magu alishindwa kutoa msimamo kuhusu makinikia ndio akazuga kwa kuunda kamati ya "makinikia" ??Mataga bado mnaweweseka
 
SSH anajua anachofanya sio sahihi hivyo anaweka zuio hili iki back fire lawama zisifike kwake moja kwa moja, iwe alishauriwa vibaya na kamati, ni ka tabia fulani hivi cha kinafiki na wasiojiamini na misimamo yao.
Tuna Raisi wa hovyo sana
 
Wacha ashirikishe, akishirikisha zaidi atapata njia bora zaidi ya kutekeleza, uenda akawa na hoja, na kusudio la kutekeleza anapoipeleka katika Baraza la mawaziri wanashauriana vema na kupata uelewa wa pamoja!
 
usimpangie mtu jins ya kufanya kaz.muhim kama.uliyosema lengo likatimia bas ndio sawa.subir jibu usitak kujua kalisolve vipi au kapitia wap.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
napingana na wewe.yaan kila kitu mtu asielewe hata akishika faili na akatuma timu yake kupeleleza? kuna maishu ishu mfano ya kujua hapa mita gauge ngap? au mbona hapa ujenz mmrtumia mininga kupiga scafold badala ya saipras yaan kuwa mjanja mjanja kwenye vitu kama hivo lakin kaz ya mawazir si ndio kaz yao kujua vitecnikal know how huko kwenye mirad .angalia mfano wazir wa maj yile jamaa utamdanganya nini kwa mfano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…