Poleni.Mumeo ameshakufa hivi mbona huelewi??
Kunywa sumu ufe na wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
no 2.Habari wana JF,
Tangu Mh. Rais ameshika madaraka, ameonekana akitaka kufanya jambo anatafuta "zuga" flani ili aeleweke.
Swali ninalojiuliza kwa nini asiwe anachukua msimamo na kulifanya jambo moja kwa moja?....
𝙼𝚊𝚗𝚓𝚒 𝚔𝚊𝚜𝚑𝚊𝚊𝚌𝚑𝚒𝚠𝚊 𝚖𝚣𝚎𝚎Habari wana JF,
Tangu Mh. Rais ameshika madaraka, ameonekana akitaka kufanya jambo anatafuta "zuga" flani ili aeleweke.
Swali ninalojiuliza kwa nini asiwe anachukua msimamo na kulifanya jambo moja kwa moja?...
Kwahiyo yule bilionea alitakiwa kuwa anaokota kila baada ya muda gani ?Ndio Siasa hiyo
Kwani hujui kuwa tangu Magufuli arejee kwa Mola wake yule 'Bilionea wa Arusha' 'haokoti tena yale Mawe ya Bilion ya Sita na Saba?
𝙽𝚒 𝚔𝚠𝚎𝚕𝚒 𝚖𝚊𝚖𝚊 𝚊𝚗𝚊𝚞𝚗𝚐𝚞𝚔𝚊 𝚒𝚕𝚊 𝚖𝚠𝚒𝚜𝚑𝚘 𝚠𝚊 𝚜𝚒𝚔𝚞 𝚊𝚝𝚊𝚜𝚎𝚖𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚊𝚝𝚒 𝚗𝚍𝚒𝚢𝚘 𝚒𝚕𝚒𝚢𝚘𝚔𝚊𝚖𝚜𝚑𝚊𝚞𝚛𝚒 𝚜𝚒 𝚖𝚊𝚊𝚖𝚞𝚣𝚒 𝚢𝚊𝚔𝚎! 𝙺𝚒𝚕𝚒𝚌𝚑𝚘𝚗𝚒𝚌𝚑𝚘𝚜𝚑𝚊 𝚓𝚊𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚙𝚘𝚔𝚎𝚊 𝚖𝚙𝚊𝚗𝚐𝚘 𝚖𝚔𝚊𝚔𝚊𝚝𝚒 𝚠𝚊 𝚔𝚞𝚙𝚊𝚖𝚋𝚊𝚗𝚊 𝙲𝙾𝚅𝙸𝙳 𝚗𝚒𝚔𝚊𝚠𝚊𝚣𝚊 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚒 𝚠𝚊𝚔𝚊𝚝𝚒 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚠𝚊𝚜𝚒𝚕𝚒𝚜𝚑𝚊 𝚛𝚎𝚙𝚘𝚛𝚝 𝚑𝚊𝚠𝚊𝚔𝚞𝚘𝚗𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚔𝚞𝚗𝚊 𝚑𝚊𝚓𝚊 𝚢𝚊𝚔𝚞𝚊𝚋𝚊𝚝𝚊𝚗𝚒𝚜𝚊 𝚗𝚊 𝚞𝚘 𝚖𝚙𝚊𝚗𝚐𝚘 𝚖𝚔𝚊𝚔𝚊𝚝? 𝙼𝚊𝚖𝚊 𝚗𝚒 𝚖𝚝𝚞 𝚠𝚊 𝚖𝚒𝚌𝚑𝚊𝚔𝚊𝚝𝚘.Habari wana JF,
Tangu Mh. Rais ameshika madaraka, ameonekana akitaka kufanya jambo anatafuta "zuga" flani ili aeleweke....
Siyo zuga bali anafuata utaratibu. Rais katika utekelezaji wake anatakiwa kufuata utaratibu na kujiridhisha kuwa anachokifanya kipo sahihi, na hasa kwenye masuala ya utaalam.Sio kuropoka. Huoni anaingia hadi gharama kwa "zuga" zake. Atamke tu kwa kujiamini. Mbona tunampenda tu na kumwelewa.
Uwezo wako inaonekana unaishia mita 2. Anavyofanya Rais Samia, ndivyo kiongozi mkuu aliyebeba dhamana anavyostahili kufanya.Rais Samia anajua anachofanya sio sahihi hivyo anaweka zuio hili iki back fire lawama zisifike kwake moja kwa moja, iwe alishauriwa vibaya na kamati, ni ka tabia fulani hivi cha kinafiki na wasiojiamini na misimamo yao.
Makuzi na mazingira ambayo mtu amekulia, kwa kiasi kikubwa, humfanya awe alivyo. Mathalani ukiwa mfugaji wa punda, tangu utoto wako umeona ambavyo punda haendi bila mijeledi, likitokea kosa ukaja kuwa kiongozi, kama huna IQ ya hali ya juu, utawapelekesha watu kama punda. Kila siku utamtafuta wa kumtandika bakora kama ambavyo ulikuwa ukiwafanyia punda.Huo ndio utawala bora unaozingatia sheria na ushauri jambo ambalo watanzania wengi hamjazoea. Mmezoea kunyanyaswa na kukokotwa na hamuoni raha bila kufanyiwa hivyo.
Brilliant!no 2.
Raisi anajuwa anachokifanya. Na anajua wazi kuwa ugonjwa wa Corona kwa Tz si tishio sana. Anachofanya ni kuwazuga wazungu ili kma kuna chochote kitu wasitunyime. Lazma twende sambamba na dunia inavyotaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ya Sabaya inazima issue ya makinikia pia. Ila mie nawapenda sana wanasiasa. Wanatoa nafasi kwa wajanja kula nchi. Sasa kama wewe umezubaa utaishia kushangilia uhuru wa kubwabwaja ila mfukoni huna kitu.Eeeh Bhwana, unasema kweli?
Mimi bado ninashangaa na lile tukio la Bomba la Mafuta Kigamboni, ni kama halipo kabisa, au ni sinema?
Inawezekana linanyimwa uzito stahiki ikiwa ni mbinu za kulififisha, kutokana na wazito wanaohusika nalo?
Mkuu izi Ni chuki tu au alikulawitiWatuzuge koote lakini sio ishu ya SABAYA huyu jamaa asipopigwa hata miaka kumi gerezani Watanzania hatutomuelewa kabisa
Tofauti ni kuwa hayo niliyoyaeleza ameshaamua, sasa anatafuta zuga flani ionekane ni jamii au wataalam ndio wameona iwe hivyo!Jamani tuwe tuna tumia simu zetu kusoma soma leadership and development. Moja ya mambo ya msingi; kiongozi bora anashawishi watu kwa hoja ili aungwe mkono siyo kulamizisha kuungwa mkono.
Sasa Rais Samia anachofanya ni kupita kwenye njia za uongozi. Anaweza kufanya chochote ila siyo vibaya akishawishi watu. Ndiyo uongozi siyo kuzunguuka mzee.😀😀😀
Swali la msingi hapa.Siyo zuga bali anafuata utaratibu. Rais katika utekelezaji wake anatakiwa kufuata utaratibu na kujiridhisha kuwa anachokifanya kipo sahihi, na hasa kwenye masuala ya utaalam.
Mathalani kwenye suala la corona, yaqezekana alikuwa na fikra zake binafsi, lakini ujue kwa muda mrefu tulikuwa na msimamo wa aina fulani, na ni suala linalohusu uhai wa watu, kuchukua uamuzi tofauti ni vema kujiridhisha na kuhusisha vypmbo mbalimbali, badala ya kukurupuka. Ukikurupuka, kukatokea madhara, yeye ndiye angebeba dhamana, lakini kwa sasa ile na Tume imefanyia kazi vipengere vyote. Unachokitaja ni sehemu ndogo sana ya report ua Tume.
So anataka aje kujivua lawama kupitia kamati?!.𝙽𝚒 𝚔𝚠𝚎𝚕𝚒 𝚖𝚊𝚖𝚊 𝚊𝚗𝚊𝚞𝚗𝚐𝚞𝚔𝚊 𝚒𝚕𝚊 𝚖𝚠𝚒𝚜𝚑𝚘 𝚠𝚊 𝚜𝚒𝚔𝚞 𝚊𝚝𝚊𝚜𝚎𝚖𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚊𝚝𝚒 𝚗𝚍𝚒𝚢𝚘 𝚒𝚕𝚒𝚢𝚘𝚔𝚊𝚖𝚜𝚑𝚊𝚞𝚛𝚒 𝚜𝚒 𝚖𝚊𝚊𝚖𝚞𝚣𝚒 𝚢𝚊𝚔𝚎! 𝙺𝚒𝚕𝚒𝚌𝚑𝚘𝚗𝚒𝚌𝚑𝚘𝚜𝚑𝚊 𝚓𝚊𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚙𝚘𝚔𝚎𝚊 𝚖𝚙𝚊𝚗𝚐𝚘 𝚖𝚔𝚊𝚔𝚊𝚝𝚒 𝚠𝚊 𝚔𝚞𝚙𝚊𝚖𝚋𝚊𝚗𝚊 𝙲𝙾𝚅𝙸𝙳 𝚗𝚒𝚔𝚊𝚠𝚊𝚣𝚊 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚒 𝚠𝚊𝚔𝚊𝚝𝚒 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚠𝚊𝚜𝚒𝚕𝚒𝚜𝚑𝚊 𝚛𝚎𝚙𝚘𝚛𝚝 𝚑𝚊𝚠𝚊𝚔𝚞𝚘𝚗𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚔𝚞𝚗𝚊 𝚑𝚊𝚓𝚊 𝚢𝚊𝚔𝚞𝚊𝚋𝚊𝚝𝚊𝚗𝚒𝚜𝚊 𝚗𝚊 𝚞𝚘 𝚖𝚙𝚊𝚗𝚐𝚘 𝚖𝚔𝚊𝚔𝚊𝚝? 𝙼𝚊𝚖𝚊 𝚗𝚒 𝚖𝚝𝚞 𝚠𝚊 𝚖𝚒𝚌𝚑𝚊𝚔𝚊𝚝𝚘.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoo! Si wamesema TAKUKURU wamempa dhamana.