#COVID19 Kwanini Rais ameamua kujificha nyuma ya kamati ya Corona? Anaogopa nini kuwambia Watanzania wajiandae na AstraZeneca? Anaogopa nini?

Unalaumu bure,hiyo covid yenyewe mpk
Leo dawa haijapatikana ambayo ni sahihi
Au ulitaka mpigwe lockdown
Kama tahadhari kuchukua siyo mpaka uambiwe

Ova
 

Mpendwa wetu alikua ni rais mnajim
Dunia nzima hili jambo limetesa sana
Ila Magu alielewa hii kitu imetokana vp

M/mungu alitaka kuwakumbusha watu wake kwamba wamemsahau vya kutosha hivyo haraka wamrudie

Ile Magu kutamka hadharani kua hili tuna mwachia m/mungu , bas hapo mungu akatupa kinga
Na nan ni mbora wa kinga isipokua ulinzi toka kwa mungu???????

Bas Hakimu Mfawidhi , jiandae hutokuja kusikia watu 800 wamekufa kwa siku kisa korona
Kama NYC, hutokuja kuona jiran zako wanakufa kama kuku.

Hili jambo ni mungu tu anatulinda.

NB: kinyume na msimamo wa mpendwa wetu
Tujiandae na mengi
 
Yeye ndiyo rais na amiri jeshi mkuu
Anajua nini anafanya
Usimchukulie poa mama SSH

Ova
 
Kwani chanjo ya corona ni astrazeneca tu??? Mbona umeshindwa hata kuficha upumbavu wako????

Nyie mapandikizi ya nchi jirani mliyojiunga Ccm Kwa sababu ya pandikizi mwenzenu Magufuli jiandaeni tu. Nchi inarudi kwenye sanity na sio ujinga na upumbavu wenu.

Rais yuko sahihi hafanyi maamuzi kwa kukurupuka, anasikiliza kwanza ushauri wa kitaalamu. Hivyo ndo dunia ya kisasa inavyokwenda
 
Kenya wanaofuata COVID19 protocols wako wapi?
Je hamsikii hosptali na mfumo wa afya ulivyozidiwa?
Mbona bongo tunaishi na vizuri tu na maisha yanaendelea kama kawaida?
Tunataka maisha gani zaidi?
Kwani wakenya wote wamepigwa chanjo??
 
Uingereza wameamua kufuata nyayo za Magufuli!
Lazima tuishi nao,nshangaa watu wanalaumu tu au walitaka serikali kila siku waje wao wawanawishe mikono na kuwapaka sanitizer
Sahv mamlaka yote anayo mama kama aliona kna mapungufu kwenye kpambana na covid ataweka sawa,mpaka na mambo ya chanjo nk

Ova
 
Mwezi mmoja uliopita tusingeweza kuyasema haya...ni makubwa sana hata sisi hatukuyatarijia, ni wise choice kupata experts backing hata dunia itaelewa maana this shift hakuna alitajari kwa nchi iliyotangaza imeishinda Corona.
 
waTanzania mlishaanza kuwa masugu kwa kutawaliwa kinguvunguvu,
Magu akienda na kujiamulia kivyakevyake mkamuita dictator ,huyu nae akiita watu kushauriana nao na kuunda ushirika katika maamuzi mnamuona hana anachokijua.
Mna tatizo la mzoea vya kunyonga ambavyo vilikuwa vimeanza kutoa mizizi na miche .Ila mipango ya Mungu hakuna anaeijua.
 
Mama hataki kukurupuka kama yule kinjekitile wenu mliyokuwa mnamuabudu.

Tuliza mshono kamati ije na mapendekezo yake na moja ya mapendekezo ni kupata chanjo na mtake msitake nyie mataga pori chanjo ni lazima. Pambaf.
 
Watu wangapi wamekufa ghafla kwa changamoto za upumuaji tangu mwaka huu uanze?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…