UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Mkuu mbona wao wenyewe huko huwazungumzii ambao wamesitisha hizo chanjo kwa baadhi ya makundi ya watu?Kwani wapi wamelazimisha watu kutumia Astra Zeneca? Umekatazwa kutumia chanjo za Russia au China kma za magharibi huziamini?
Tuacheni kulia lia maadam insuline au CT Scan mnatumia na zinatoka huko huko msijifanye kubagua na chanjo zao!! Ni unafiki