#COVID19 Kwanini Rais ameamua kujificha nyuma ya kamati ya Corona? Anaogopa nini kuwambia Watanzania wajiandae na AstraZeneca? Anaogopa nini?

#COVID19 Kwanini Rais ameamua kujificha nyuma ya kamati ya Corona? Anaogopa nini kuwambia Watanzania wajiandae na AstraZeneca? Anaogopa nini?

Kwani wapi wamelazimisha watu kutumia Astra Zeneca? Umekatazwa kutumia chanjo za Russia au China kma za magharibi huziamini?

Tuacheni kulia lia maadam insuline au CT Scan mnatumia na zinatoka huko huko msijifanye kubagua na chanjo zao!! Ni unafiki
Mkuu mbona wao wenyewe huko huwazungumzii ambao wamesitisha hizo chanjo kwa baadhi ya makundi ya watu?
 
Huenda anapima upepo kwanza kusikiliza Watanzania wanasema nini,ukizingatia wengi bado wanaogopa chanjo!
 
Magufuli alitusaidia sana kwenye Corona kwa kututia moyo na kutuondolea hofu, Mama naye yuko sahihi ni vizuri kushirikiana na dunia kuhusu huu ugonjwa linalofaa lifanyike.
Kubwa hapo ni chanjo tu na kwa Bongo bila kuwatia watu hofu nadhani itakuwa ngumu kuwadunga hizo chanjo.
 
Mkuu mbona wao wenyewe huko huwazungumzii ambao wamesitisha hizo chanjo kwa baadhi ya makundi ya watu?
Wamesitisha sababu ya risk sio madhara...... Lakini bado Astra Zeneca inaendelea kama kawa kwa success rate ya 99% wanaopokea dozi.

Nmekueleza hapo chanjo ya Yellow fever mmoja hufa kati ya kila laki 2 wanaochomwa!! Ina maana katika kila watu million 17 kuna vifo 85 je Astra Zeneca imefika huko
 
Kubwa hapo ni chanjo tu na kwa Bongo bila kuwatia watu hofu nadhani itakuwa ngumu kuwadunga hizo chanjo.
Ngumu kivipi ni kuwapa elimu tu na kuandaa propaganda za kutosha ili wapate somo na nadhani hilo haliwezi kuwashinda TISS wakiamua.

Kama waliweza swaying kwenye kikombe cha babu hawawezi shindwa ku enforce chanjo.
 
Ndio maana nikasema lazima uwatie hofu kwanza watu wawe na hofu kinyume na uhalisia wenyewe wa corona ilivyo na hapo ndio utaweza kudunga chanjo.
 
Back
Top Bottom