Rais ameamua kuwa logical, sijui kwanini umehoji!
Swala la kitabibu unalitoleaje maamuzi ya kisiasa bila kupata ushauri wa kitabibu?
Ni kweli hakubaliani na matangulizi wake kwani yule jamaa hakutoa room kwa wataalam kushauri bali yeye ndiye alishauri wataalamu. Kwa mtu ambaye ni logucal hawezi kukubaliana na maamuzi holela.
Nakuona wewe unataka mama awe na maamuzi ya kiimra kama jiwe, kitu ambacho si sahihi.
Naungana na mama kusubiri ushauri wa kamati ya uchunguzi ndipo atoe maamuzi.
Nakushauri uondokane na akili za kiimla ulizopandikizwa na ile awamu kwani si aina ya maisha ya binadamu mstaarabu anavyotakiwa kuishi.
Sent from my SM-A207F using
JamiiForums mobile app