#COVID19 Kwanini Rais ameamua kujificha nyuma ya kamati ya Corona? Anaogopa nini kuwambia Watanzania wajiandae na AstraZeneca? Anaogopa nini?

Unajua hata hao Mabeberu wenyewe watakushangaa kwa sababu umekazania hizo chanjo kuliko hata wao, wao huko wenyewe wanaona Astrazeneca zinagandisha damu na hadi wameacha kuzitumia kwa baadhi ya makundi ya watu ila wewe bado huoni shida katika hizo chanjo na unatushambulie sisi hutaki tuseme kuwa hizo chanjo zina shida kisa et tunatumia chanjo zengine za mabeberu hivyo na hizi hutaki tuseme hata kama zina shida.
Ungejua watu wa ngapi wamechanjwa Astra Zeneca ulaya wala usingepiga kelele
 
Kumekucha!

Yupo sahihi kabisa kwa sababu ile kamati ya mwanzo iliongozwa na PM Majaliwa na Ummy Mwalimu ilikuwa ni ya kisiasa siyo ya kitaalamu na haijawahi kuvunjwa!

Ndio maana ukaona Jaffo amejiingiza na nyungu zake.
Itakayoundwa Sasa itapata baraka za WHO na kampuni mbalimbali za dawa...hivi Sasa wanahangaika kuona wanaoteuliwa wanna msimamo was lockdown na chanjo...wenye msimamo Kama was JPM hawatakuwemo kwenye kamati hiyo...
 
Ungejua watu wa ngapi wamechanjwa Astra Zeneca ulaya wala usingepiga kelele
Inawezekana mie napiga kelele tu ila huko ulaya kuna nchi zimechukua vitendo kabisa kuhusiana na hizo Astrazeneca,sasa sidhani kama hawajui kuwa ni watu wangapi wamechanjwa huko ulaya.
 
Wasalaam wana jamvi!

Nimeshangazwa sana na Mh Rais kusema ataunda kamati kuhusu swala la Corona ili baadae tuwe na msimamo kuhusu Corona!

Mimi kwenye hili nimejiuliza maswali hivi ni kweli Tanzania hatukuwa na msimamo kuhusu Corona? Huyu Rais si alikuwa Makamu wa Rais na Rais wake alishasema wazi kuwa Tanzania hakuna Corona na kama ipo ni ndogo sana?

Hii kamati anayounda anataka imwambie nini kipya asichokijua? Anataka aanze kutoa takwimu za Corona sasa anataka kamati imshauri?

Anataka aweke watu Lockdown sasa anataka kamati imshauri?

Anataka kulazimisha watu kuvaa barakoa sasa anataka kama imshauri?

Anataka kupokea chanjo ya Astrazeneca sasa anataka kamati imshauri?

Rais anaogopa nini kusema alikuwa hakubaliani na jinsi mtangulizi wake alivyo kuwa anaikabili Corona? Rais anaogopa nini kusema wamejiandaa kupokea chanjo ya AstraZeneca hivi karibuni?

Sidhani kama Rais anatakiwa kujificha nyuma ya kamati kwenye swala kama hili ambalo liko wazi!

Kuna kitu gani hajui ambacho anataka kamati imwambie?

Kwanini anajificha nyuma ya kamati anashindwa nini kuwambia watanzania wajiandae kudungwa Astrazeneca?

Kama Tanzania hatuna msimamo kwanini yeye havai barakoa? Hajui huo nao ni msimamo? Anataka ashauriwe nini?

Kwanini Tusiamini ana ajenda zake mkononi anataka azipitishe nyuma ya kamati ili watanzania waamini ni msimamo wa kamati kumbe ni msimamo wake?

Wasalaam!
Unasema "rais wake alishasema Tanzania hakuna korona na kama ipo ipo kidogo sana " umeelewa ulichokisema hapo ?
1. Ipo ama haipo ?
2. Ipo kidogo sana ? Kidogo sana ni nini? Ni 'ngapi' ?
3. Nikukumbushe ilitangazwa wiki ya nyungu, tulipata mrejesho, kwanini ilikuwepo na imefikia malengo ??
Huwenda labda hujui ama umesahau, lakini hata huyo uliyuita 'rais wake'- mwendazake alikuwa na kamati ya covid,
 
Wasalaam wana jamvi!

Nimeshangazwa sana na Mh Rais kusema ataunda kamati kuhusu swala la Corona ili baadae tuwe na msimamo kuhusu Corona!

Mimi kwenye hili nimejiuliza maswali hivi ni kweli Tanzania hatukuwa na msimamo kuhusu Corona? Huyu Rais si alikuwa Makamu wa Rais na Rais wake alishasema wazi kuwa Tanzania hakuna Corona na kama ipo ni ndogo sana?

Hii kamati anayounda anataka imwambie nini kipya asichokijua? Anataka aanze kutoa takwimu za Corona sasa anataka kamati imshauri?

Anataka aweke watu Lockdown sasa anataka kamati imshauri?

Anataka kulazimisha watu kuvaa barakoa sasa anataka kama imshauri?

Anataka kupokea chanjo ya Astrazeneca sasa anataka kamati imshauri?

Rais anaogopa nini kusema alikuwa hakubaliani na jinsi mtangulizi wake alivyo kuwa anaikabili Corona? Rais anaogopa nini kusema wamejiandaa kupokea chanjo ya AstraZeneca hivi karibuni?

Sidhani kama Rais anatakiwa kujificha nyuma ya kamati kwenye swala kama hili ambalo liko wazi!

Kuna kitu gani hajui ambacho anataka kamati imwambie?

Kwanini anajificha nyuma ya kamati anashindwa nini kuwambia watanzania wajiandae kudungwa Astrazeneca?

Kama Tanzania hatuna msimamo kwanini yeye havai barakoa? Hajui huo nao ni msimamo? Anataka ashauriwe nini?

Kwanini Tusiamini ana ajenda zake mkononi anataka azipitishe nyuma ya kamati ili watanzania waamini ni msimamo wa kamati kumbe ni msimamo wake?

Wasalaam!
Rais ameamua kuwa logical, sijui kwanini umehoji!
Swala la kitabibu unalitoleaje maamuzi ya kisiasa bila kupata ushauri wa kitabibu?
Ni kweli hakubaliani na matangulizi wake kwani yule jamaa hakutoa room kwa wataalam kushauri bali yeye ndiye alishauri wataalamu. Kwa mtu ambaye ni logucal hawezi kukubaliana na maamuzi holela.
Nakuona wewe unataka mama awe na maamuzi ya kiimra kama jiwe, kitu ambacho si sahihi.
Naungana na mama kusubiri ushauri wa kamati ya uchunguzi ndipo atoe maamuzi.
Nakushauri uondokane na akili za kiimla ulizopandikizwa na ile awamu kwani si aina ya maisha ya binadamu mstaarabu anavyotakiwa kuishi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Itakayoundwa Sasa itapata baraka za WHO na kampuni mbalimbali za dawa...hivi Sasa wanahangaika kuona wanaoteuliwa wanna msimamo was lockdown na chanjo...wenye msimamo Kama was JPM hawatakuwemo kwenye kamati hiyo...
Unategemea medical doctor kweli aje atuambie tupige nyungu? Dr Ndugulile alishatuambia kwamba nyungu hazisaidii na barakoa za vitambaa hazina msaada akaondolewa. Mzee na Dr Faustine nani anayafahamu vizuri mambo ya afya?

Waacheni watu na taaluma zao watushauri.
 
Rais ameamua kuwa logical, sijui kwanini umehoji!
Swala la kitabibu unalitoleaje maamuzi ya kisiasa bila kupata ushauri wa kitabibu?
Ni kweli hakubaliani na matangulizi wake kwani yule jamaa hakutoa room kwa wataalam kushauri bali yeye ndiye alishauri wataalamu. Kwa mtu ambaye ni logucal hawezi kukubaliana na maamuzi holela.
Nakuona wewe unataka mama awe na maamuzi ya kiimra kama jiwe, kitu ambacho si sahihi.
Naungana na mama kusubiri ushauri wa kamati ya uchunguzi ndipo atoe maamuzi.
Nakushauri uondokane na akili za kiimla ulizopandikizwa na ile awamu kwani si aina ya maisha ya binadamu mstaarabu anavyotakiwa kuishi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwamba Mama Samia angesema watu wavae barakoa na kuepuka mikusanyiko nako ingekuwa ni maamuzi ya kiimra kwamba anatakiwa ashauriane na wataalamu ndio wamwambie kwamba wavae barakoa au wasivae?
 
Medicine expert nilitegemea uwe maabara unasaka suluhisho la Covid should it strike Vets!! Lakini mpo busy mitandaoni kukejeli efforts za wenzenu!!

To be honest unaona ni sawa?
Wewe ndio unasupport hizo efforts??

Bro we mtu wa ajabu sijapata kuona.

Kwan kuingia maabara kuna kuzuia kuingia mtandaoni?? Ulitaka watu wawe walala maabara??

Wewe ni bush lawyer tu mkuu
 
Unajua hata hao Mabeberu wenyewe watakushangaa kwa sababu umekazania hizo chanjo kuliko hata wao, wao huko wenyewe wanaona Astrazeneca zinagandisha damu na hadi wameacha kuzitumia kwa baadhi ya makundi ya watu ila wewe bado huoni shida katika hizo chanjo na unatushambulie sisi hutaki tuseme kuwa hizo chanjo zina shida kisa et tunatumia chanjo zengine za mabeberu hivyo na hizi hutaki tuseme hata kama zina shida.
Kwani wapi wamelazimisha watu kutumia Astra Zeneca? Umekatazwa kutumia chanjo za Russia au China kma za magharibi huziamini?

Tuacheni kulia lia maadam insuline au CT Scan mnatumia na zinatoka huko huko msijifanye kubagua na chanjo zao!! Ni unafiki
 
Wewe ndio unasupport hizo efforts??

Bro we mtu wa ajabu sijapata kuona.

Kwan kuingia maabara kuna kuzuia kuingia mtandaoni?? Ulitaka watu wawe walala maabara??

Wewe ni bush lawyer tu mkuu
I might be a bush lawyer but at least I'm not a veterinary medicalofficer anayetegemea chanjo za wanyama kutoka kwa mabeberu ila anapinga chanjo za binadamu kutoka kwa supplier hao hao!!

Huu unafiki unawasidia nini?
 
Unataka tuweke lock down, huo ndio utaalam unaotaka, hao wenye lock down wanakufa wengi zaidi ya Tz sasa nini faida ya lockdown ? SSH ana tatizo, tena ni KUBWA.
Kama unapenda lockdown kiasi hiki si uingie wenyewe, kwani kuna ulazima gani mpaka Rais akuingize lockdown.
 
Mwambie Rais SSH, anataka kuweka lockdown kwa kuwa tu wazungu wamesema.
Lini kasema anataka kuweka lockdown? Hivi mkuu wewe uko timamu kweli? Nchi kama Tanzania unaweza kuiweka lockdown? Mbona mnachanganyikiwa kirahis sana! Hata Rais angekuwa na akili kama zako bado hawezi kufanya kitu kama hicho
 
Kwenye suala la Corona lazima tukubali Magufuli alichemka big time.

Hakuna mtu mwenye akili timamu angekubaliana na Magufuli kwa jinsi alivyoishughulikia korona.

Huwezi kuwa dogma ukajifanya Tanzania haina korona wakati Dunia nzima ina korona eti mungu ametusaidia, huyo mungu alishindwa nini kumsaidia korona isimuue?

Nakubaliana na mama, shughulika na korona kitaalam.

Hivi nchi ambayo inalingana na Tanzania na ilifuata containment measures zote na bado imepoteza watu wasiopungua laki moja kwa COVID-19, kwa maoni yako, imefanya vizuri kuliko sisi ambao kwa vyovyote vile hatuwezi kuwa tumepoteza hata watu 50,000 tu?
 
Magufuli alitusaidia sana kwenye Corona kwa kututia moyo na kutuondolea hofu, Mama naye yuko sahihi ni vizuri kushirikiana na dunia kuhusu huu ugonjwa linalofaa lifanyike.
 
Rais Samia Suluhu yuko sahihi kuunda tume lakini tusiwekwe lockdown tuendelee kumuomba Mungu na kuchukua tahadhari kama inavyotakiwa.
 
Wasalaam wana jamvi!

Nimeshangazwa sana na Mh Rais kusema ataunda kamati kuhusu swala la Corona ili baadae tuwe na msimamo kuhusu Corona!

Mimi kwenye hili nimejiuliza maswali hivi ni kweli Tanzania hatukuwa na msimamo kuhusu Corona? Huyu Rais si alikuwa Makamu wa Rais na Rais wake alishasema wazi kuwa Tanzania hakuna Corona na kama ipo ni ndogo sana?

Hii kamati anayounda anataka imwambie nini kipya asichokijua? Anataka aanze kutoa takwimu za Corona sasa anataka kamati imshauri?

Anataka aweke watu Lockdown sasa anataka kamati imshauri?

Anataka kulazimisha watu kuvaa barakoa sasa anataka kama imshauri?

Anataka kupokea chanjo ya Astrazeneca sasa anataka kamati imshauri?

Rais anaogopa nini kusema alikuwa hakubaliani na jinsi mtangulizi wake alivyo kuwa anaikabili Corona? Rais anaogopa nini kusema wamejiandaa kupokea chanjo ya AstraZeneca hivi karibuni?

Sidhani kama Rais anatakiwa kujificha nyuma ya kamati kwenye swala kama hili ambalo liko wazi!

Kuna kitu gani hajui ambacho anataka kamati imwambie?

Kwanini anajificha nyuma ya kamati anashindwa nini kuwambia watanzania wajiandae kudungwa Astrazeneca?

Kama Tanzania hatuna msimamo kwanini yeye havai barakoa? Hajui huo nao ni msimamo? Anataka ashauriwe nini?

Kwanini Tusiamini ana ajenda zake mkononi anataka azipitishe nyuma ya kamati ili watanzania waamini ni msimamo wa kamati kumbe ni msimamo wake?

Wasalaam!
Mtu akiamua kupiga chanjo achague nyengine, AstraZeneca imegundulika kuwa na issues kwenye rare cases inasababisha blood-clots.
 
I might be a bush lawyer but at least I'm not a veterinary medicalofficer anayetegemea chanjo za wanyama kutoka kwa mabeberu ila anapinga chanjo za binadamu kutoka kwa supplier hao hao!!

Huu unafiki unawasidia nini?
Mkuu we unapenda kujaji vitu usivyojua.

Ungeweza kuniuliza vizuri. Sio hivi unavyofanya kusema vitu ambavyo huvijui.

Hujui usemalo.
Ngoja nikuache
 
Kwamba Mama Samia angesema watu wavae barakoa na kuepuka mikusanyiko nako ingekuwa ni maamuzi ya kiimra kwamba anatakiwa ashauriane na wataalamu ndio wamwambie kwamba wavae barakoa au wasivae?
Hayo matangazo ya kujikinga kwa kuvaa barakoa yaliopo kila kona hayakutoshi?
 
Back
Top Bottom