Quaresma Fai
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 590
- 630
Naona jinsi watanzania tunavyoanza kuchemka,Unayeandika hivi, usikute hujawahi hata kuambukizwa hiyo Corona, na pengine unaposema Magufuli hakuwa Sawa katika kushughurikia Corona ukilinganisha na nchi gani ambao kwao wameshughurikia vizuri na Corona kwao haipo mpaka Leo ni Nani na nchi gani??
Naona jinsi tunavyoanza kujikonfuse,
Nawakumbuka wanna wa Israel ,
Jinsi walipooata ukombozi kutoka misri, njia wakakutana na changamoto Kisha kumnung'unikia Mungu na Musa,
Jambo hili likamkasirisha Mungu, akawaua woote jangwani, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune na Yoshua mwana wa Nuni.
Leo hii watanzania tumefika mahali tunabeza uwezo wa Mungu katika kutulinda na kutuponya.
Hatuoni kwamba tupo hai mpaka leo, wangapi wamekufa na corona na sayansi zao na lockdown zao.
Kwanini tusimshukuru Mungu kwa ulinzi na uponyaji aliotupa..
Tunahitaji kugeuzwa Nia zetu tujue hakika yaliyo mapenzi ya Mungu katika maisha yetu.