johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uingereza wameamua kufuata nyayo za Magufuli!Licha ya kuwepo mapungufu kupambana na covid lkn nchi hakuiweka
Lockdown,magufuli ni kama alikuwa anataka
Watanzania tuishi nayo tu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uingereza wameamua kufuata nyayo za Magufuli!Licha ya kuwepo mapungufu kupambana na covid lkn nchi hakuiweka
Lockdown,magufuli ni kama alikuwa anataka
Watanzania tuishi nayo tu
Ova
Kweli, kuna hadi kitu cha Sputnik cha Kirussia. Mimi nataka hicho.Mbona umelazimisha tu Astrazeneca kwani hakuna chanjo nyingine tofauti na hiyo?
Unalaumu bure,hiyo covid yenyewe mpkKwenye suala la Corona lazima tukubali Magufuli alichemka big time.
Hakuna mtu mwenye akili timamu angekubaliana na Magufuli kwa jinsi alivyoishughulikia korona.
Huwezi kuwa dogma ukajifanya Tanzania haina korona wakati Dunia nzima ina korona eti mungu ametusaidia, huyo mungu alishindwa nini kumsaidia korona isimuue?
Nakubaliana na mama, shughulika na korona kitaalam.
Zipo za China!Mbona umelazimisha tu Astrazeneca kwani hakuna chanjo nyingine tofauti na hiyo?
Kwenye swala la korona lazima tukubali Magufuli alichemka big time.
Hakuna mtu mwenye akili timamu angekubaliana na Magufuli kwa jinsi alivyoishughulikia korona.
Huwezi kua dogma ukajifanya Tanzania haina korona wakati Dunia nzima ina korona eti mungu ametusaidia, huyo mungu alishindwa nini kumsaidia korona isimuue?
Nakubaliana na mama, shughulika na korona kitaalam.
Yeye ndiyo rais na amiri jeshi mkuuSSH anaropoka mambo ambayo hana uwezo nayo, anajaribu kujionesha muelevu kumbe ndio anaonyesha ujinga wake, mambo anayo ongea unaweza pata mshangao, hivi unaweza sema Tz hatukuwa na stand dhidi ya Corona.
Wanaompigia vigelegele pia wanamuona boya maana wamefanikiwa kumchota akili kwa vigelegele tu na yeye anacheza ngoma yao.
Mbatizaji..nawe pia umemsaliti mzee wako JPM! Hakika tutaona mengi..Kumekucha!
Yupo sahihi kabisa kwa sababu ile kamati ya mwanzo iliongozwa na PM Majaliwa na Ummy Mwalimu ilikuwa ni ya kisiasa siyo ya kitaalamu na haijawahi kuvunjwa!
Ndio maana ukaona Jaffo amejiingiza na nyungu zake.
Niko katika uhalisia bwashee!Mbatizaji..nawe pia umemsaliti mzee wako JPM! Hakika tutaona mengi..
Kwani wakenya wote wamepigwa chanjo??Kenya wanaofuata COVID19 protocols wako wapi?
Je hamsikii hosptali na mfumo wa afya ulivyozidiwa?
Mbona bongo tunaishi na vizuri tu na maisha yanaendelea kama kawaida?
Tunataka maisha gani zaidi?
Lazima tuishi nao,nshangaa watu wanalaumu tu au walitaka serikali kila siku waje wao wawanawishe mikono na kuwapaka sanitizerUingereza wameamua kufuata nyayo za Magufuli!
Unataka tuweke lock down, huo ndio utaalam unaotaka, hao wenye lock down wanakufa wengi zaidi ya Tz sasa nini faida ya lockdown ? SSH ana tatizo, tena ni KUBWA.
Mi na familia yangu hatutachoma chanjo!
Hapo ndo nakumbuka magu
Mpendwa wetu alikua ni rais mnajim
Dunia nzima hili jambo limetesa sana
Ila Magu alielewa hii kitu imetokana vp
M/mungu alitaka kuwakumbusha watu wake kwamba wamemsahau vya kutosha hivyo haraka wamrudie
Ile Magu kutamka hadharani kua hili tuna mwachia m/mungu , bas hapo mungu akatupa kinga
Na nan ni mbora wa kinga isipokua ulinzi toka kwa mungu???????
Bas Hakimu Mfawidhi , jiandae hutokuja kusikia watu 800 wamekufa kwa siku kisa korona
Kama NYC, hutokuja kuona jiran zako wanakufa kama kuku.
Hili jambo ni mungu tu anatulinda.
NB: kinyume na msimamo wa mpendwa wetu
Tujiandae na mengi