Kwanini Rais amepoteza mvuto kabla ya kutimiza siku 100?

Mataga ndani ya siku hizo hizo 100 zikifika utawasikia tena ,hawa ni zao la kipindi cha (wenye akili wanyamazapo wapumbavu uongezeka ) kina musiba hao
Hivi jamani Musiba yuko wapi siku hizi mbona kazimika ghafla kama mshumaa?
 
Watu wa CCM mmepoteza dira sasa mnasema amepoteza mvuto, poleni sana watu mliozoea kufokewa na kuitwa Wanyonge. Rais wetu Samia ni Mama. Toka lini mama akapoteza mvuto kwa watoto wake.

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Hao woote wanao mbeza na kutoa kasoro ni wale waliokuwa wanufaika wa utawala wa awamu ya 5.

Mama Samia hana muda wa kuwakumbatia hao wauza umbea na waeneza chuki ndani ya nchi.
 
Tatizo tulishazoea kufokewa na kupigwa mkwara na kufyata mikia......ila kuna kaukweli kwa style ya Mama has ile ripoti ya BOT imekuwa kimya ghafla.....kuna miamba inatakiwa ing'olewe
 
Mama yupo fair sana.....tumpe muda tu.
Kwani nyie mnatamani JPM arudi, ama?
 
Tumpe muda hata miaka miwili tuone..
 
Mama yupo fair sana.....tumpe muda tu.
Kwani nyie mnatamani JPM arudi, ama?
Hayo ndiyo maombi yao na bado wanasubiri ufuguko maana wanajidanganya kuwa ni malaika
 
Who said kwamba JPM alikuwa bora?

Au kwamba tunataka afufuke?

Acheni kuwa insecure, kila anayewakosoa mnakimbilia kumtaja JPM, that man was disgrace, we thought his death will get us better but it is looking like we got the worst.
Mbona umepaniki Maisha yenyewe hayahaya unapata pressure tulia Mama ndio Rais
 
Rais wa wapi tena? Au Karia wa TFF?

Kwanza si tumekubaliana Mama tunaenda naye mpaka 2040?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Au namna gani jameni?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚
 
Usiniwekee maneno mdomoni..... nimeachana na nani?
Serikali yetu ipo imara
Huwezi mlinganisha SAMIA SULUHU au DR MPANGO na SALUM MWALIMU au TUNDU
Tundu hajawahi kuwa Rais au Salumu Mwalimu hajawahi kuwa makamu wa Rais ukapima performance yao.Wape kwanza hayo madaraka ndiyo uwalinganishe.una mawazo ya kijinga sana.sijui mara nyingi unawaza kwa kutumia nini.

Mtu alikuwa makamu wa Rais miaka 5, CCM iko madarakani tangu nchi hii kuzaliwa bado kila Rais anayeingia ni RAIS WA MAJARIBIO.Eti Tumpe muda. Watanzania sijui tumerogwa na nani.Nchiya wajinga na wapuuzi wengi.

TUMIA AKILI KUFIKIRI,PUNGUZA ULIMBUKENI NA USHABIKI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…