Kwanini Rais amepoteza mvuto kabla ya kutimiza siku 100?

Kuna Asilimia 15 watamuunga mkono kwa nguvu zote, kunanyingine 15% watapinga kila kitu na kuna 70% wanasubiti kushawishiwa na matokeo. Jitambue uko wapi.

Ila sisi tumeshachukua viti vya mbele kabisa, tunakwenda na Rais SSH
 
Hamna Rais humu, uliona wapi Rais naye analalamika kama wananchi badala ya kutoa ufumbuzi!
kuna rais alikuwa analalamika kila siku kuwa tuliibiwa sana wakati yeye alilitumikia taifa kwa vyeo mbalimbali chini ya utawala dhalimu wa ccm,Hivi yule mtu alikuwa anaitwa nani?
 
Hivi bado hamjaona kuna mtu ameshika remote control!!!?
 
Usimfananishe jiwe na Mother Teresa , jina lake tu lenyewe lilikua ni tishio, JIWE they didn’t call him for nothing , he was unshakable, alikua ni kiongozi wa aina yake, kumfananisha na vituko vingine ni kumkosea heshima... ebu kaa kwa kutulia
Woyooooooooooooh binamu.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kwani hawajui si wanajifanya tu kupoteza aibu zao, maana walijua huyu atakua kiboko ya magu kumbe gegedu so itabid tu wamsifie kiunafik ila ukweli wanaujua kuwa tumepigwa hamna kitu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mother Theresa yupo buzzy kugawa takrima kwa wastaafu, kuzurura na kutoa mipasho ya kipemba ktk hotuba zake za uozo. [emoji23][emoji23][emoji23] anakera sana huyu bi mdashi.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Magu alikua jembe bwana, akisema leo watu wote hakuna kuvaa nguo utaona jiji zima liko uchi[emoji23], c mtoto sio mzee, Mungu amuweke panapostahili, baba wa watu kazi aliifanya kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee fulan mstaafu na genge lao waliufyata, kwa mwamba kutoka chattle.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Jumong hana uwezo wowote
 
Magu alikua jembe bwana, akisema leo watu wote hakuna kuvaa nguo utaona jiji zima liko uchi[emoji23], c mtoto sio mzee, Mungu amuweke panapostahili, baba wa watu kazi aliifanya kwa kweli
Nmezoea kuku ona kwenye jukwaa la heka heka kumbe na huku unafika
 
Mazuri 95 huharibiwa na mabaya matano (5). Hayo mabaya hata wewe unayajua (yeye hakuwa malaika kwamba asifanye mabaya) . Alianza vizuri sana nchi nzima ikampokea, lakini baadaye wewe wajua.
 
Wewe kwa ufupi tu kama yule mnyama anaezaa na kula watoto wake .You are simply an empty head not proportional with your board
 
Mbona Mumewe yeye anamuona vingine,
Anasema anazidi kuwa Mrembo sikuhizi!
Sasa sijui nyie mnatakaje?

Mushazowea Kufokewa nini Na Mwenda zake na Kupewa haki zenu kwa Masumbulizi kama Munaokirimiwa?
Ukisikia utwana Huu ndio utwana wenyewe.
Mwacheni mama atandike safu zake vizuri taratibu ,bado ni mapema sana kwa mtu mwenye busara zilizotimia kama Mama etu SASHA asiyekuwa limbukeni wa uongozi.Hatua kwa hatua anaibadili taswira ya Tanzania nje na ndani.
Anasimika muhimili wa haki na uwazi ambao ulikuwa umetoweka kabisa.

Kesi zote za uzushi zinashugullikiwa kwa spidi ya mwanga, wafanya biashara waliodhulumiwa kurudishiwa haki zao.
Taratibu Mama anawafundisha Watanzania namna bora ya kutawala raia ILI MUNGU AWE NASI KAMA TAIFA NI LAZIMA HAKI ISIMAMIWE.

Mulisha zowea kusikia Kiongozi kujinasibu Ucha munguna upenzi wa mungu, huku wananchi wanalia kwa dhuluma wanazofanyiwa pengine kwa amri kutoka juu.

Mama Hajinasibu kabisa na Ucha Mungu ,bali anatenda haki kimya kimya.

Labda Haya ndiyo musiyoyataka?
 
Pamoja na madhaifu yake mfano kutengeneza 'kanda pendwa' Jiwe alikuwa mashine kubwa.
 
Naunga mkono hoja, Rais hana mvuto, kimsingi hana jipya, jinsia ndo zimekuwa hotuba zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…