Kwanini Rais Magufuli alimfunga Kabendera?

Ni kawaida ya mtawala yeyote kua na namna yake ya kuteka hadhira. Ya Magu ilikua babkubwa aliwaweza aisee.
 
Ni kawaida ya mtawala yeyote kua na namna yake ya kuteka hadhira. Ya Magu ilikua babkubwa aliwaweza aisee.
Umeandika kama kimama Cha uswahilini kikikunuu maneno ya kwenye nyimbo ya taarabu.

Akili zako ndogo sana kama kipande Cha vuzi.
 
Umeandika kama kimama Cha uswahilini kikikunuu maneno ya kwenye nyimbo ya taarabu.

Akili zako ndogo sana kama kipande Cha vuzi.
Hii mihemko yako ndivyo alivyokua marehemu mjomba wako (mwendazake). Na yeye kitu kidogo tu anapanick na kufukuza watu hovyo kwa tuhuma mbalimbali za kweli na zisizo za kweli bila tathmini wala chunguzi zozote.

Watu wa kariba yake ni wengi sana nchi hii(ukiwemo wewe) na ni rahisi wao kuelewana kwasababu wanaongea lugha moja( ujuha).
 
Kiufupi,haki haipo Kwa raia wasio wanachama wa chama cha Mapinduzi.

Haki ipo kwa;
1.Chawa
2.Mwanaccn
3.Msifiaji wa vyote
Tatizo linaanzia kwenye Katiba.
Hii ni Nchi inayoongoza kuwa na Raia ambao hawana tofauti na maiti zinazotembea
 
SWALI: kuna mwandishi mmoja aling'olewa meno na kutolewa kucha, akaenda Afrika kusini kutibiwa, anaitwa nani?? Siyo huyu Kabendera?
Hakuwa mwandishi bali ni Dr. Ulimboka aliyeorganise mgomo wa madaktari. Hii ilitokea kipindi cha Kikwete akiwa madarakani na si Magufuli.
 
Mimi kukwambia wewe akili zako nj ndogo kama punje ya mchele na kukuonesha kuwa hauna tofauti na vile vimama vya uswahilini Kwa hayo maneno uliyoandika hapa yenye vinasaba vya taarabu hapo haina mshabiano wowote ule na hulka yangu...

Wewe umebeza jitihada za Magufuli na Mimi nikakuuliza swali kwamba unafikiri alichokuwa anakifanya ni kazi rahisi? Badala ya kujibu kimantiki nilichokuuliza, badala yake unaniletea vijimaneno ambavyo havina kichwa Wala miguu.....!

Sasa Mimi na wewe ni nani mwenye mihemko hapa?

Akili huna kabisa wewe.
 
Hizi ni porojo. Lete ushahidi wa kueleweka kuhusu hizo pesa.
JPM alikuwa mwoga na asiyependa kukosolewa. Alipenda kutawala hii nchi kama familia yake. Ndo maana alishindwa hata kumalizia miaka 10 madarakani kwa maana alishaanza kuwa kero secret services. Angekuwa mpole tu kama mzee Jk. anakula zake upepo wa bahari pale Msoga.
 
Kabendera ajiandae kabisa aandike na urithi!

Sidhani kama idara itavumilia kuvuliwa nguo kabisa kiasi hiki!kwamba ilimpitisha!!
 
Kama ni kweli huyu mwandishi ameandika ukweli kuhusu Beni, basi nae angeitwa ikulu na kufanyiwa kama Beni. Beni alikuwa mtu mdogo sana kuitwa ikulu.
 
Inaonekana Ukoo wao ni watu wa vurugu, watafuta pesa kwa style hii. Wazazi wake warijaribu uhuni wao huko kwao Rwanda, kusupport Ugaidi, kuanzisha machafuko wakatimuliwa, Baba yake Kabendera akajaribu hapa, Mkapa akamnyoosha, huyu naye akamjaribu JPM akanyooshwa vizuri tu.

Sasa ameamua alipize kisasi kwa kuandika uchafu wa aina zote unazoweza kumpa binadamu. Hii fiction, fantasy, horror movie yake imefeli itatapa audience, nafasi kwa wasio na uwezo wa kuchambua mambo wachache sana. Wengi wenye akili timamu wanajua it is work of fiction.

Dhamira yake ingefanikiwa hii nchi ingekuwa na machafuko kama nchi aliyoikimbia. Tulishukuru jeshi na uongozi wa wakati ule kusimama imara.
 
Bila shaka wewe ni mnyonge mmojawapo mwendazake aliokua anajinasibu kuwapambania!!?
Hili povu lote ni la kutetea matangopori uliyolishwa?

Kuongoza watu sampuli yako ni rahisi sana.
 
Bila shaka wewe ni mnyonge mmojawapo mwendazake aliokua anajinasibu kuwapambania!!?
Hili povu lote ni la kutetea matangopori uliyolishwa?

Kuongoza watu sampuli yako ni rahisi sana.
Nani kalishwa matango pori zaidi ya wajinga na wapumbavu kama wewe ambao mnaamini maandishi ya huyo Kabendera yasiokuwa na substantial evidence ya aina yoyote?

Kwa akili yako mbovu ilivyo leo hii huyo Kabendera hata akisema Magufuli alimbaka mama yako mzazi bila uthibitisho wowote utamuamini kutoka na chuki ulizonazo Kwa Magufuli plus Imani kubwa uliyonayo Kwa Kabendera sio?

Mjinga kabisa wewe,
 
Hv kwa akili yako tz inapinduliwa na mwandishi wa habari
 
Money laundry alikili na akarudisha .
 
Ku
Yaani mwandishi apindue nchi!,je alikuwa anamiliki jeshi?,,pili je ndo achukuliwe hatua kali kiasi hicho?kwani sheria yasemaje kwa mtu kama huyu,si ni kufunguliwa tu mashtaka mahakamani?,,
Na watubwana matope akili mwandishi gani kwa complex system ya tanzania mkiwq mnaandika husisheni akili
 
Watu kama huyo Kabendera kuachwa waendelee kuwa hai ilikuwa ni mistake, hapo ndio Huwa namkubali PK Huwa anajua sana kudeal na watu WA aina hii ambao ni threat Kwa usalama WA taifa.... Ana bahati sana JPM hakuwa na uhodari WA kimafia kama Kagame, huyu asingekuwa hai kutuandikia huu ushuzi ambao hauna manufaa yoyote zaidi ya kupoza hasira zake na za wengine ambao Wana makovu kama yeye.

Eti investigative journalist halafu unaishia kuichunguza serikali Kwa manufaa ya watu WA nje, si ni uhaini huo? Kwanini asingechunguza kuhusu makinikia na uporaji WA rasilimali zingine lukuki unaofanywa nchini kwetu ambao wananchi wengi hatuujui? Yaani unaichunguza serikali kisha unashirikiana na magaidi yanayotishia kuangusha utawala, halafu ukishughulikiwa, umeonewa... Mbaya Zaid Kuna wapumbavu wanamuunga mkono, inatia hasira sana
 

Sijaona uhusiano wa Shinani na Erick kabendera...Sidhani hata kama walifahamiana achilia mbali undugu.
 
HALAFU WATANZANIA WALA HAWAKO BIZE NA KUSOMA MAJALIDA NA HIYO LUGHA ALIYO TUMIA NDIYO KABISAAA HAKUNA ATAKEYE SOMA NA HAKINA IMPACT YOYOTE KWA TANZANIA NI KAMA KIGAZETI CHA UDAKU TU
 
Imagine alikuwa anaandika nakala za design hizo-hizo za uongo mtupu; kuichafua nchi.

Halafu kuna watu wanakwambia ndio demokrasia, hiyo.

I have always said Magufuli alikuwa soft kwa mtazamo wangu.

Watanzania anahitajika mtu wa kuingia madarakani na kuwanyoosha akili zao, thinking yetu and definition yetu ya ipo chini sana.

Watanzania wanadhani it’s ok to violate people au sijui nafasi za siasa ni birth right yake, kuiba serikalini ni haki yake and so forth of their nonsense.

Kabendera ni flag bearer tu wa permeating culture ya Tanzania hasa kwa wafanyakazi wa umma, serikalini (mawaziri) na ndani ya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…