Kwanini Rais Magufuli alimfunga Kabendera?

Kwanini Rais Magufuli alimfunga Kabendera?

Mafanikio mojawapo ya kitabu ni kusomwa na watu wengi. Naamini hajawaandikia Watanzania pekee, bali ulimwengu. Na Watanzania wanapenda kusoma vitabu, wengi wao wanajua English pia. Kwa hiyo bado lengo la mwandishi litakuwa limetimia endapo kitapata wasomaji wengi.
Halafu kikishasomwa na hao watu WA huko ulimwenguni? Nini kinafuatai baada ya hapo?

Haya tumejua raisi wetu alitaka kubakwa na muhusika hayupo so what??????
 
Siyo hiyo; Nikiipata nitaileta. Hiyo uliyoleta ni baada ya kuwa amekamatwa. Article iliyomtia matatatani ilikuwa analysis mojawapo ya miradi mikubwa ya Magufuli nadhani ama ule wa bwawa la Nyerere au wa SGR na kutumia maneno “the president’s stupid decision”!! Ndipo Magufuli akaamua kumbana mipira.
Sawa mkuu ukiileta itakuwa vyema sana. Nataka nione ni nini kilimchefua JPM vile.
 
Back
Top Bottom