Halafu kikishasomwa na hao watu WA huko ulimwenguni? Nini kinafuatai baada ya hapo?Mafanikio mojawapo ya kitabu ni kusomwa na watu wengi. Naamini hajawaandikia Watanzania pekee, bali ulimwengu. Na Watanzania wanapenda kusoma vitabu, wengi wao wanajua English pia. Kwa hiyo bado lengo la mwandishi litakuwa limetimia endapo kitapata wasomaji wengi.
Haya tumejua raisi wetu alitaka kubakwa na muhusika hayupo so what??????