Kwanini Rais Magufuli alimfunga Kabendera?

Kuyaandikia magazeti ya nje na kulipwa mshahara HALALI kuna nongwa gani acheni roho chafu.
Kamarada hakuna roho ya mwanadamu iliyo chafu isipokuwa kuna nafsi chafu ha ha ha ha

Iitwayo "investigative journalism" ina mengi....
Pia hutumiwa kama "stepping stone" ya kuyashambulia mataifa yanayoendelea na viongozi wake kwa njia za Kiliberali....

Ok mkuu nakukumbusha ile LAW "to every action there's an equal and opposite reaction".

#Nchi Kwanza!
 
Iitwayo "investigative journalism" ina mengi....
Pia hutumiwa kama "stepping stone" ya kuyashambulia mataifa yanayoendelea na viongozi wake kwa njia za Kiliberali....
Mimi ni msomaji mzuri wa hayo Magazeti hakuna yeyote anayeshambuliwa huwa ni ukweli ndio unaowasumbua watawala wetu.

Siku serikali zetu zikifanya HAKI kwa raia wake sidhani kama zitakuwa hofu ya kuwa exposed.

Mfano mzuri hebu muulize Mtanzania yeyote kuhusu chaguzi zetu za Tanzania atakuambia kuwa CCM na Mapolisi wake ndio wanapora chaguzi.

Sasa waandishi wetu wanaoandikia kwenye magazeti ya Wazungu kwanini na wasiseme ukweli wa hali ilivyo katika Nchi yetu kwa kwanini tuwaite majina wakati wasaliti na walarushwa waliojaa CCM wanaouza rasilimali ya nchi ndio MAADUI wa nchi hii.
 
Hakuna sehemu alipokiri hayo unayomzushia.......kama una ushahidi weka hapa
Fanya a little bit of research. Soma report za wakati ule. Kwa kukusaidia Anza kumsoma, msikilize mwenyewe kwanza vizuri, taratibu. Fanya utafiti kuhusu MKURA nini kilikuwa kinaendelea kule, report zipo nyingi na kuhusika kwake.

Amekiri mwenyewe ameandika makala nyingi kuhusu hayo kwenye majarida ya nje. Amekiri uhusika wake na MKURA na harakati zake amezisema mwenyewe. Unampinga yeye? Inaonekana hata hujamsikiliza. Vigumu kukuwekea hapa vyote nafasi haitatosha.

Hivi kuna kitu gani unafikiri hawezi kufanya huyu shujaa wako?
 
Angekuwa hai bado kitabu kingetoka tu kwa maana kwa namna alivyoua na kuteka raia hakuna namna angekwepa hii aibu.
 
Makosa ya Kabendera ni Kama ya baba yake Kabendera Shinan alipobanwa na SERIKALI ya Mkapa akaamua kujiua Ziwa Victoria Mwaka 2000,

Alionekana kutumiwa na majirani na bbc kufifisha Juhudi za Mkapa !

Mzee Kabendera ni Mnyarwanda aliyeishi katoMa bukoba , hata msiba wake Rwanda Ulitikisa aliacha baadhi ya ndugu zake Erik huko Rwanda


 
Huyu ni mjukuu wa Karume senior na mtoto wa Karume junior. Binti wa Royal Family,
Kwa heshima zote nasema Fatima Karume ni mnafiki.
Wakati wa babu yake walipotea watu wengi hakusema kitu.
Wakati wa baba yake kila mtu aliyekuwa miaka 20 na kuendelea alijua matukio ya watu kuteseka Sana na hakusema kitu.
Alipoteza moral authority ya kumkosoa JPM.
 
Upo sahihi kabisa mkuu kwa sababu ameonesha bias Mara nyingi hata kwa mzanzibari mwenzie anapoongoza, anaweka blind eye

Naelewa mkuu lakini wangapi walikuwa na hiyo moral authority lakini walishindwa kuongea?..

Je, kwenye vita utaangalia moral authority au urgency na mtu yoyote anaeweza kupambana?...

Let's say wewe ndio ungekuwa Fatma Karume, je ungeweza kufanya hayo unayotamani yeye ayafanye kwa ukoo wake?..
 
Moaka leo nchi inalipa mabilion kwa makosa ya magufuli kutumia hisia na sio kali

Kama kabudi angekua na akili nchi isingelipishwa mabilion kwa kuvunja mikataba
 
Maboya kama wewe ni sababu hii nchi haitakuja kuendelea
 
Kuna t
Kwahiyo unataka kusema Pascal Mayalla alikuwa ànamzuia kabendera asiendelee kufichua ufisadi wa serikali uliokuwa unawekwa wazi

Maandiko kama haya ni nadra sana kuyaona jf.
Majinga yalivamia hizi forums kitambo hadi watu wenye akili yimamu wakasusa kujihusisha humu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…