Uchaguzi 2020 Kwanini Rais Magufuli asichaguliwe tena

Uchaguzi 2020 Kwanini Rais Magufuli asichaguliwe tena

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana).

Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na kutotaka kukosolewa. Na haya kwa ujumla wake ndiyo yamepelekea serikali na chama chake kufanya mambo ya hovyo kama ifuatavyo:-

(a) Kutunga sheria kandamizi,
(b) Kutekwa kwa watu hovyo,
(c) Kuuawa kwa watu hovyo
(d) Watu kupigwa risasi
(e) Kuundwa kwa kikundi Cha watu wasiojulikana. Kwenye hili taarifa zilizopo ni kwamba ameiga mtindo wa serikali ya hayati Nkurunziza aliyekuwa na kikundi cha utekaji na mauaji kiitwacho "Mbonela kule".
(f) Kuibuka kwa watu kama akina Musiba ambao wanatumia kodi zetu lkn kazi yao kubwa ni kutukana watu wa kila aina: - viongozi wastaafu, viongozi waliomo serikalini, viongozi wa upinzani, wafanyabiashar, n.k ili mradi tu wameonekana kutofautiana fikra na Magufuli. Who is Magufuli?? Ni Mungu? Hakuna atakayempa kura Magufuli.
(g) Rais Magufuli ameanza kutugawa na kutubagua kwa misingi ya kisiasa
Na mengine mengi.

Watanzania hatukupigania Uhuru ili tuje tusimangiwe madaraja, au majengo ya zahanati yasiyo na vifaa tiba wala dawa. Tulipigania Uhuru ili tuwe na Uhuru wa kufanya mambo yetu kwa Uhuru.

Kwa mapungufu haya Rais Magufuli wallah nawaapia hachaguliki. Ana maadui ndani na nje ya chama chake.

Hapiti NG'O! Najua mtaji wake na mategemeo yake makubwa ni mwenyekiti wa tume kumtangaza kwa nguvu kama livyofanyika kwenye chaguzi ndogo za ubunge wa Kinondoni na maeneo mengine.

Jihadharini!!
20200809_090336.jpg
 
Jiwe ni Dikteta hafai ,hiyo miradi anayoijenga ni kwa ajili ya kupiga pesa kupitia 10% na kampuni zake za Mayanga na Mecco ndio zinazofanya hizo kazi na kama hazipo basi zinachukua contractor halafu zinafanya sub wao wanakula cha juu.
Huyu hata angeanza kutujengea nyumba bure watanzania wote hafai. Ana majivuno,dharau, kihuri na nimbaguzi asiyefaa kabisa.
 
Kwa hapa jukwaani tundu lisu kashashinda lakini huku mtaani atakua mpenzi musindikizaji nawaambia mutaona, nyie mnashinda humu kupiga porojo wakati % kubwa ya watanzania hawapo mitandaoni kampeni zikiaanza rasimi jitokezeni kuongea na watu kwenye mikutano ya hadhara mpaka vijijini huko musije kusema mumeibiwa kura.
 
This is for really buddy. I'm not dreaming.
Mjomba umenena kweli, anategemea mbeleko zifuatazo. Nguvu za dola, tume ya uchaguzi, na wateule wake ambao ndiyo wala bata wa taifa hili. Ndiyo wanaokemea, wanaonyanyasa na kujiona high class citizens. Nawakumbusha, zilikuwepo dola zenye nguvu, ambazo hazikuwaza kutoka madarakani kabisa, Kama Roma empire, Babelon empire, Farao Rhames wa Egypt, Timbuktu ya Mali, Sofala nk. Nini ccm wapumbavu tu ambao hakuna hata mmoja wao ambaye kizazi chake cha saba nyuma kilijua kufunika tupu zao. Namaanisha hata kuvaa walikuwa hawajui.
 
zilikuwepo dola zenye nguvu, ambazo hazikuwaza kutoka madarakani kabisa, Kama Roma empire, Babelon empire, Farao Rhames wa Egypt, Timbuktu ya Mali, Sofala nk.
Unajua hata Gaddafi aliwapa kila kitu watu wake lkn akawanyima Uhuru. Akajiona yy ndiye yy. Hakuamini siku alipoona watu wa Bengazi walipomwagika mitaani kumpinga. Akawaita mende haikusaidia, akawaita panya haikusaidia.

Hapa Tanzania wanaompinga Magufuli na serikali yake wanaitwa Nyumbu lkn wanaongezeka tu, wanaitwa mabeberu wanazidi kuongezeka tu.
 
Back
Top Bottom