RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana).
Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na kutotaka kukosolewa. Na haya kwa ujumla wake ndiyo yamepelekea serikali na chama chake kufanya mambo ya hovyo kama ifuatavyo:-
(a) Kutunga sheria kandamizi,
(b) Kutekwa kwa watu hovyo,
(c) Kuuawa kwa watu hovyo
(d) Watu kupigwa risasi
(e) Kuundwa kwa kikundi Cha watu wasiojulikana. Kwenye hili taarifa zilizopo ni kwamba ameiga mtindo wa serikali ya hayati Nkurunziza aliyekuwa na kikundi cha utekaji na mauaji kiitwacho "Mbonela kule".
(f) Kuibuka kwa watu kama akina Musiba ambao wanatumia kodi zetu lkn kazi yao kubwa ni kutukana watu wa kila aina: - viongozi wastaafu, viongozi waliomo serikalini, viongozi wa upinzani, wafanyabiashar, n.k ili mradi tu wameonekana kutofautiana fikra na Magufuli. Who is Magufuli?? Ni Mungu? Hakuna atakayempa kura Magufuli.
(g) Rais Magufuli ameanza kutugawa na kutubagua kwa misingi ya kisiasa
Na mengine mengi.
Watanzania hatukupigania Uhuru ili tuje tusimangiwe madaraja, au majengo ya zahanati yasiyo na vifaa tiba wala dawa. Tulipigania Uhuru ili tuwe na Uhuru wa kufanya mambo yetu kwa Uhuru.
Kwa mapungufu haya Rais Magufuli wallah nawaapia hachaguliki. Ana maadui ndani na nje ya chama chake.
Hapiti NG'O! Najua mtaji wake na mategemeo yake makubwa ni mwenyekiti wa tume kumtangaza kwa nguvu kama livyofanyika kwenye chaguzi ndogo za ubunge wa Kinondoni na maeneo mengine.
Jihadharini!!