Uchaguzi 2020 Kwanini Rais Magufuli asichaguliwe tena

Kwani umekatazwa kumchagua?
 
Anapita huku unajiona!!!

Bado tunamuamini JPM
 
Anapita huku unajiona!!!

Bado tunamuamini JPM
We! We! We! Temea mate chini.

Hajapandisha mishahara ya watumishi tangu 2015. Nqni atamchagua?

Ndugu, jamaa na marafiki zetu wameuawa, wametekwa na wamepigwa risasi kwasabb tu ya kumkosoa. Nani atamchagua?

Bei za mazao yote zimeshuka tangu 2015. Nani atamchagua?

Biashara nyingi za watu zimekufa tangu 2015. Aliahidi matajiri wataishi kama mashetani. Nani atamchagua?
 
Jipeni matumaini hewa mwishoni mtuambie mmeibiwa wakati Rais MAGUFULI kazi yake imeonekana. Msipoteze muda atashinda saa 12 asubuhi
 
Kwani alishinda 2015?Kile kizee kiliogopa kikamtangaza mashindi...EL alipata 62%
 
Msitegemee kupewa Urais kwa kuonewa huruma za risasi alizopigwa Lissu,,,

Aliyoyafanya JPM yanaonekana kwa macho na yanagusa maisha halisi ya mtanzania,,, ndo Rais pekee mwenye vision ya kuifikisha Tanzania mahali panapotakiwa, ni Rais pekee anae ijali Tanzania kama Tanzania bila kujali mabeberu wanasemaje


Sio kuongeza mishahara tu ki dezodezo.. acha aijenge nchi kwanza mambo ya mishahara baadae mbona kama kula mnakula vzuri tu!!!

Hebu muacheni bwana afungue fursa na kwa vijana ambao wanahitaji sana miradi hii inayoanzishwa wapate kujipatia ajira humohumo!!!

Bado tunamuamini JPM
 
Nani kakukataza kumchagua?
 
Huyu hata angeanza kutujengea nyumba bure watanzania wote hafai. Ana majivuno,dharau, kihuri na nimbaguzi asiyefaa kabisa.
Mkuu tafadhali naomba tusameheane kuna sehemu nime ku quote kimakosa kwenye bandiko lako hapo juu.
 
Unadhani watanzania wa leo ni wale wa juzi wa kuburuzwa buruzwa? Jiandaeni kisaikolojia maana baada ya October chuma cha pua mh Lissu ndiyo atakuwa next prezidaa
 
Kwanza hili la kuwachukulia mama, dada, mabinti, wake zetu, na wanawake wote kwa ujumla kama ni vifaa vya kukidhi matamanio yasio kikomo ya kingono yaliyo kichwani mwake ni sababu tosha ya kumuweka pembeni cha pombe, now.
 
Nikikumbuka bomoa bomoa za kikatili za kimara...nasema dah ....ila malipo ni hapa hapa
Tuliumizwa sana kipindi kile watu wa kimara lkn leo hii hakuna kitu zaidi ya barabara za kawaida sana tu
 
Hatukumtuma akajijengee uwanja wa ndege kwao Ni mbinafsi hatufai
 
Hatukumtuma akajijengee uwanja wa ndege kwao Ni mbinafsi hatufai
Ulitaka ajenge kwenu???

Mbona termina 3 ipo dar na SGR ipo dar to moro,, mbona mradi wa umeme upo morogoro!! Hana ubinafsi wewe ndo mwenye ubinafsi

Bado tunamuamini JPM
 
Pamoja na hayo yote Bado Magufuli ni Rais 2020-202......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…