IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,226
- 1,919
Anagombeza, kubeza, kudharau na kutukana wapiga kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani umekatazwa kumchagua?RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana).
Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na kutotaka kukosolewa. Na haya kwa ujumla wake ndiyo yamepelekea serikali na chama chake kufanya mambo ya hovyo kama ifuatavyo:-
(a) kutunga sheria kandamizi,
(b) kutekwa kwa watu hovyo,
(c) kuuawa kwa watu hovyo
(d) watu kupigwa risasi
(e) kuundwa kwa kikundi Cha watu wasiojulikana. Kwenye hili taarifa zilizopo ni kwamba ameiga mtindo wa serikali ya hayati Nkurunziza aliyekuwa na kikundi cha utekaji na mauaji kiitwacho "Mbonela kule".
(f) kuibuka kwa watu kama akina Musiba ambao wanatumia kodi zetu lkn kazi yao kubwa ni kutukana watu wa kila aina: - viongozi wastaafu, viongozi waliomo serikalini, viongozi wa upinzani, wafanyabiashar, n.k ili mradi tu wameonekana kutofautiana fikra na Magufuli. Who is Magufuli?? Ni Mungu? Hakuna atakayempa kura Magufuli.
(g) rais Magufuli ameanza kutugawa na kutubagua kwa misingi ya kisiasa
Na mengine mengi.
Watanzania hatukupigania Uhuru ili tuje tusimangiwe madaraja, au majengo ya zahanati yasiyo na vifaa tiba wala dawa. Tulipigania Uhuru ili tuwe na Uhuru wa kufanya mambo yetu kwa Uhuru.
Kwa mapungufu haya Rais Magufuli wallah nawaapia hachaguliki. Ana maadui ndani na nje ya chama chake.
Hapiti NG'O! Najua mtaji wake na mategemeo yake makubwa ni mwenyekiti wa tume kumtangaza kwa nguvu kama livyofanyika kwenye chaguzi ndogo za ubunge wa Kinondoni na maeneo mengine.
Jihadharini!!
Twende zetu na mh LissuThis is for really buddy. I'm not dreaming.
Anapita huku unajiona!!!RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana).
Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na kutotaka kukosolewa. Na haya kwa ujumla wake ndiyo yamepelekea serikali na chama chake kufanya mambo ya hovyo kama ifuatavyo:-
(a) kutunga sheria kandamizi,
(b) kutekwa kwa watu hovyo,
(c) kuuawa kwa watu hovyo
(d) watu kupigwa risasi
(e) kuundwa kwa kikundi Cha watu wasiojulikana. Kwenye hili taarifa zilizopo ni kwamba ameiga mtindo wa serikali ya hayati Nkurunziza aliyekuwa na kikundi cha utekaji na mauaji kiitwacho "Mbonela kule".
(f) kuibuka kwa watu kama akina Musiba ambao wanatumia kodi zetu lkn kazi yao kubwa ni kutukana watu wa kila aina: - viongozi wastaafu, viongozi waliomo serikalini, viongozi wa upinzani, wafanyabiashar, n.k ili mradi tu wameonekana kutofautiana fikra na Magufuli. Who is Magufuli?? Ni Mungu? Hakuna atakayempa kura Magufuli.
(g) rais Magufuli ameanza kutugawa na kutubagua kwa misingi ya kisiasa
Na mengine mengi.
Watanzania hatukupigania Uhuru ili tuje tusimangiwe madaraja, au majengo ya zahanati yasiyo na vifaa tiba wala dawa. Tulipigania Uhuru ili tuwe na Uhuru wa kufanya mambo yetu kwa Uhuru.
Kwa mapungufu haya Rais Magufuli wallah nawaapia hachaguliki. Ana maadui ndani na nje ya chama chake.
Hapiti NG'O! Najua mtaji wake na mategemeo yake makubwa ni mwenyekiti wa tume kumtangaza kwa nguvu kama livyofanyika kwenye chaguzi ndogo za ubunge wa Kinondoni na maeneo mengine.
Jihadharini!!
We! We! We! Temea mate chini.Anapita huku unajiona!!!
Bado tunamuamini JPM
Jipeni matumaini hewa mwishoni mtuambie mmeibiwa wakati Rais MAGUFULI kazi yake imeonekana. Msipoteze muda atashinda saa 12 asubuhiRaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana).
Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na kutotaka kukosolewa. Na haya kwa ujumla wake ndiyo yamepelekea serikali na chama chake kufanya mambo ya hovyo kama ifuatavyo:-
(a) kutunga sheria kandamizi,
(b) kutekwa kwa watu hovyo,
(c) kuuawa kwa watu hovyo
(d) watu kupigwa risasi
(e) kuundwa kwa kikundi Cha watu wasiojulikana. Kwenye hili taarifa zilizopo ni kwamba ameiga mtindo wa serikali ya hayati Nkurunziza aliyekuwa na kikundi cha utekaji na mauaji kiitwacho "Mbonela kule".
(f) kuibuka kwa watu kama akina Musiba ambao wanatumia kodi zetu lkn kazi yao kubwa ni kutukana watu wa kila aina: - viongozi wastaafu, viongozi waliomo serikalini, viongozi wa upinzani, wafanyabiashar, n.k ili mradi tu wameonekana kutofautiana fikra na Magufuli. Who is Magufuli?? Ni Mungu? Hakuna atakayempa kura Magufuli.
(g) rais Magufuli ameanza kutugawa na kutubagua kwa misingi ya kisiasa
Na mengine mengi.
Watanzania hatukupigania Uhuru ili tuje tusimangiwe madaraja, au majengo ya zahanati yasiyo na vifaa tiba wala dawa. Tulipigania Uhuru ili tuwe na Uhuru wa kufanya mambo yetu kwa Uhuru.
Kwa mapungufu haya Rais Magufuli wallah nawaapia hachaguliki. Ana maadui ndani na nje ya chama chake.
Hapiti NG'O! Najua mtaji wake na mategemeo yake makubwa ni mwenyekiti wa tume kumtangaza kwa nguvu kama livyofanyika kwenye chaguzi ndogo za ubunge wa Kinondoni na maeneo mengine.
Jihadharini!!
Msitegemee kupewa Urais kwa kuonewa huruma za risasi alizopigwa Lissu,,,We! We! We! Temea mate chini.
Hajapandisha mishahara ya watumishi tangu 2015. Nqni atamchagua?
Ndugu, jamaa na marafiki zetu wameuawa, wametekwa na wamepigwa risasi kwasabb tu ya kumkosoa. Nani atamchagua?
Bei za mazao yote zimeshuka tangu 2015. Nani atamchagua?
Biashara nyingi za watu zimekufa tangu 2015. Aliahidi matajiri wataishi kama mashetani. Nani atamchagua?
Nani kakukataza kumchagua?RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana).
Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na kutotaka kukosolewa. Na haya kwa ujumla wake ndiyo yamepelekea serikali na chama chake kufanya mambo ya hovyo kama ifuatavyo:-
(a) kutunga sheria kandamizi,
(b) kutekwa kwa watu hovyo,
(c) kuuawa kwa watu hovyo
(d) watu kupigwa risasi
(e) kuundwa kwa kikundi Cha watu wasiojulikana. Kwenye hili taarifa zilizopo ni kwamba ameiga mtindo wa serikali ya hayati Nkurunziza aliyekuwa na kikundi cha utekaji na mauaji kiitwacho "Mbonela kule".
(f) kuibuka kwa watu kama akina Musiba ambao wanatumia kodi zetu lkn kazi yao kubwa ni kutukana watu wa kila aina: - viongozi wastaafu, viongozi waliomo serikalini, viongozi wa upinzani, wafanyabiashar, n.k ili mradi tu wameonekana kutofautiana fikra na Magufuli. Who is Magufuli?? Ni Mungu? Hakuna atakayempa kura Magufuli.
(g) rais Magufuli ameanza kutugawa na kutubagua kwa misingi ya kisiasa
Na mengine mengi.
Watanzania hatukupigania Uhuru ili tuje tusimangiwe madaraja, au majengo ya zahanati yasiyo na vifaa tiba wala dawa. Tulipigania Uhuru ili tuwe na Uhuru wa kufanya mambo yetu kwa Uhuru.
Kwa mapungufu haya Rais Magufuli wallah nawaapia hachaguliki. Ana maadui ndani na nje ya chama chake.
Hapiti NG'O! Najua mtaji wake na mategemeo yake makubwa ni mwenyekiti wa tume kumtangaza kwa nguvu kama livyofanyika kwenye chaguzi ndogo za ubunge wa Kinondoni na maeneo mengine.
Jihadharini!!
Wanatulilia lilia hapa jukwaani utadhani tumewakatazaha ha ha.. keep up the dream boy.
Unaota tu baada ya kutoka usingizini ulipo kuwa umesinzia kwenye Nyahunge express kutokea katoro kuja darThis is for really buddy. I'm not dreaming.
Mkuu tafadhali naomba tusameheane kuna sehemu nime ku quote kimakosa kwenye bandiko lako hapo juu.Huyu hata angeanza kutujengea nyumba bure watanzania wote hafai. Ana majivuno,dharau, kihuri na nimbaguzi asiyefaa kabisa.
Hadi sasa hawana uhakika wa kubakia hapo magogoniInatakiwa akataliwe hata na mkewe huyu kurudi ikulu
Unadhani watanzania wa leo ni wale wa juzi wa kuburuzwa buruzwa? Jiandaeni kisaikolojia maana baada ya October chuma cha pua mh Lissu ndiyo atakuwa next prezidaaKwa hapa jukwaani tundu lisu kashashinda lakini huku mtaani atakua mpenzi musindikizaji nawaambia mutaona, nyie mnashinda humu kupiga porojo wakati % kubwa ya watanzania hawapo mitandaoni kampeni zikiaanza rasimi jitokezeni kuongea na watu kwenye mikutano ya hadhara mpaka vijijini huko musije kusema mumeibiwa kura.
Tuliumizwa sana kipindi kile watu wa kimara lkn leo hii hakuna kitu zaidi ya barabara za kawaida sana tuNikikumbuka bomoa bomoa za kikatili za kimara...nasema dah ....ila malipo ni hapa hapa
Hatukumtuma akajijengee uwanja wa ndege kwao Ni mbinafsi hatufaiRaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana).
Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na kutotaka kukosolewa. Na haya kwa ujumla wake ndiyo yamepelekea serikali na chama chake kufanya mambo ya hovyo kama ifuatavyo:-
(a) kutunga sheria kandamizi,
(b) kutekwa kwa watu hovyo,
(c) kuuawa kwa watu hovyo
(d) watu kupigwa risasi
(e) kuundwa kwa kikundi Cha watu wasiojulikana. Kwenye hili taarifa zilizopo ni kwamba ameiga mtindo wa serikali ya hayati Nkurunziza aliyekuwa na kikundi cha utekaji na mauaji kiitwacho "Mbonela kule".
(f) kuibuka kwa watu kama akina Musiba ambao wanatumia kodi zetu lkn kazi yao kubwa ni kutukana watu wa kila aina: - viongozi wastaafu, viongozi waliomo serikalini, viongozi wa upinzani, wafanyabiashar, n.k ili mradi tu wameonekana kutofautiana fikra na Magufuli. Who is Magufuli?? Ni Mungu? Hakuna atakayempa kura Magufuli.
(g) rais Magufuli ameanza kutugawa na kutubagua kwa misingi ya kisiasa
Na mengine mengi.
Watanzania hatukupigania Uhuru ili tuje tusimangiwe madaraja, au majengo ya zahanati yasiyo na vifaa tiba wala dawa. Tulipigania Uhuru ili tuwe na Uhuru wa kufanya mambo yetu kwa Uhuru.
Kwa mapungufu haya Rais Magufuli wallah nawaapia hachaguliki. Ana maadui ndani na nje ya chama chake.
Hapiti NG'O! Najua mtaji wake na mategemeo yake makubwa ni mwenyekiti wa tume kumtangaza kwa nguvu kama livyofanyika kwenye chaguzi ndogo za ubunge wa Kinondoni na maeneo mengine.
Jihadharini!!
Ulitaka ajenge kwenu???Hatukumtuma akajijengee uwanja wa ndege kwao Ni mbinafsi hatufai
Pamoja na hayo yote Bado Magufuli ni Rais 2020-202......RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana).