Uchaguzi 2020 Kwanini Rais Magufuli asichaguliwe tena

Ulitaka ajenge kwenu???

Mbona termina 3 ipo dar na SGR ipo dar to moro,, mbona mradi wa umeme upo morogoro!! Hana ubinafsi wewe ndo mwenye ubinafsi

Bado tunamuamini JPM
hovyo kweli wewe, yaani watu wanaongelea njia ya ndege wewe unaongea njia ya treni. hemu ajenge hiyo njia ya ndege kuanzia chato mpaka mwanza basi usikie kama kuna mtu atalalamika.
 
hovyo kweli wewe, yaani watu wanaongelea njia ya ndege wewe unaongea njia ya treni. hemu ajenge hiyo njia ya ndege kuanzia chato mpaka mwanza basi usikie kama kuna mtu atalalamika.
Kinachowauma ni nini mbona kama viwanja vya ndege kila mkoa vipo na siku hiz had wilayan vipo,,!!!


Vitu vingap Magufuli anavijenga yena nje ya chato mbona hamlalamiki...!!

Hoja yangu ni kupinga hiyo hoja uchwaro ya JPM kuwa mbinafsi...

Ni huyu ndo anatufanya TZ tujidai hata mbele ya mataifa mengne achana na Beberu mweusi anaetangaza bata kama vile ataleta debe la unga kwa familia
 
Delete ccm Oct 28
 
Tunajidai mbele ya mataifa kwa lipi? Huyo JPM mwenyewe kama anadhani ufundi uashi ni jambo la kujivunia mbona kagoma kutoka nchini utadhani pamekuwa chooni, si aende akajivunie huko kwa mabeberu, anaogopa waatanza kumuhoji maswala ya msingi.

nirudi kwako, wewe ushaenda mataifa yepi kujidai? kwa lipi? labda ukajidai kwamba sisi ndio nchi pekee afrika tumejenga uwanja wa kiwango kile kijijini, na ndege zinatua pale si zaidi ya mara nne kwa mwaka.

umeenda mataifa yepi kujidai?
 
 
Magu hafai kabisa tutafute rais mwingine tafadhali.
 

Sasa hivi mmevuka hatua ya kuiba kura, mnachofanya ni kuitishia na kuiagiza tume iwatangaze washindi kwa lazima.
 
Mi nitakupigia sasa unauhakika gani hapiti wakati Kuna watu wengi tu tunamuunga mkono
 
Mkuu tuliomo huku mitandaoni hatuishi humu. Nasi tunaishi mitaani, tunakula na tunaongea na majirani zetu. Kwahiyo nakutoa wasiwasi unachokiona humu ndiyo picha ya mitaani.

Anadhani ukiingia mtandaoni unakuwa nje ya mtaa na nchi hivyo hujui uhalisia. Anachojivunia huko mtaani ni hofu iliyopandikizwa, kwamba watu hawathubutu kuweka hisia zao wazi kwa hofu ya kutekwa, kuuwawa na kuhujumiwa shughuli zao kupitia taasisi za kimamlaka kama TRA, polisi nk. Huo ukimya wa hofu huko mitaani, na watu kadhaa wapiga kelele za kumtukuza jiwe, ndio zinamfanya aone ccm inakubalika sana.
 
Lkn wamesahau kwamba mjusi akikimbizwa Sana hugeuka nyoka. Watanzania ni watulivu Sana lkn kwa ukandamizaji wa huyu jamaa wamemchoka. No more pain
 
Duh, Kuna watu mtapata taabu Sana baada ya kushuhudia mafuriko ktk ushindi wa Magu🙆!
 
Mi nitakupigia sasa unauhakika gani hapiti wakati Kuna watu wengi tu tunamuunga mkono

Watu mnaomuunga mkono mko huru maana hamna hofu ya kutekwa, kuhujumiwa shughuli zenu wala kuuwawa, hiyo ndio sababu mnaweza kujigamba hadharani na kudhani anakubalika sana. Ingekuwa wasiomkubali wanaweza kuonyesha hisia zao kama nyie, tungekuwa na hadithi tofauti.
 
Duh, Kuna watu mtapata taabu Sana baada ya kushuhudia mafuriko ktk ushindi wa Magu🙆!

Magu hategemei mafuriko ya wapiga kura, ana uwezo wa kupata kura za mafuriko kwa kuiagiza tume kumtangaza kwa idadi ya kura azitakazo. Subiri kampeni zianze aone upepo halisi wa wapiga kura kama hajaagiza hujuma zianze.
 
Kama ingekuwa hivyo we ungeweza kumuunga Lissu hadharani?
 
Kama tume ni ya familia yako hapo sawa.
kumiliki tume sio kumiliki akili za watu.
YAHAYA jameh alimiliki kila kitu kuanzia tume,dola ,polisi,masanduku ya kura,nk lakini tume hio hio ikamtangaza BARROW mshindi.
ANGA LIKISHAKUKATAA KILA KITU KITAKUKATAA
 
Naona umasikini hadi kwa watumishi wa umma .
 
Tunamtaka Tundu Lissu! Period. Tunataka kujuwa kwa nini Mungu kamuacha hai baada ya kupigwa risasi 38, kutotibiwa na Serikali, kutolipwa mshahara na Bunge na mwisho kunyang'anywa ubunge.
Yesu alikimbilia Misri ili asiuliwe na herode,Mussa alifichwa asiuliwe na farao then wote wakawakomboa watu wao, so kusudi la Mungu linaenda kutimia,thus safari hii walikiuka zindiko la kuukimbiza mwenge upumbazao akili za watz hivo watapiga kura kwa akili zao,pia mbabe wa wizi wa kura Mungu kampenda zaidi.
Kilio cha wengi ni kilio cha Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…