LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kwa kutumia tume?Pamoja na hayo yote Bado Magufuli ni Rais 2020-202......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kutumia tume?Pamoja na hayo yote Bado Magufuli ni Rais 2020-202......
Sijui Sasa mkuuKwa kutumia tume?
hovyo kweli wewe, yaani watu wanaongelea njia ya ndege wewe unaongea njia ya treni. hemu ajenge hiyo njia ya ndege kuanzia chato mpaka mwanza basi usikie kama kuna mtu atalalamika.Ulitaka ajenge kwenu???
Mbona termina 3 ipo dar na SGR ipo dar to moro,, mbona mradi wa umeme upo morogoro!! Hana ubinafsi wewe ndo mwenye ubinafsi
Bado tunamuamini JPM
Kinachowauma ni nini mbona kama viwanja vya ndege kila mkoa vipo na siku hiz had wilayan vipo,,!!!hovyo kweli wewe, yaani watu wanaongelea njia ya ndege wewe unaongea njia ya treni. hemu ajenge hiyo njia ya ndege kuanzia chato mpaka mwanza basi usikie kama kuna mtu atalalamika.
Delete ccm Oct 28RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana).
Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na kutotaka kukosolewa. Na haya kwa ujumla wake ndiyo yamepelekea serikali na chama chake kufanya mambo ya hovyo kama ifuatavyo:-
(a) kutunga sheria kandamizi,
(b) kutekwa kwa watu hovyo,
(c) kuuawa kwa watu hovyo
(d) watu kupigwa risasi
(e) kuundwa kwa kikundi Cha watu wasiojulikana. Kwenye hili taarifa zilizopo ni kwamba ameiga mtindo wa serikali ya hayati Nkurunziza aliyekuwa na kikundi cha utekaji na mauaji kiitwacho "Mbonela kule".
(f) kuibuka kwa watu kama akina Musiba ambao wanatumia kodi zetu lkn kazi yao kubwa ni kutukana watu wa kila aina: - viongozi wastaafu, viongozi waliomo serikalini, viongozi wa upinzani, wafanyabiashar, n.k ili mradi tu wameonekana kutofautiana fikra na Magufuli. Who is Magufuli?? Ni Mungu? Hakuna atakayempa kura Magufuli.
(g) rais Magufuli ameanza kutugawa na kutubagua kwa misingi ya kisiasa
Na mengine mengi.
Watanzania hatukupigania Uhuru ili tuje tusimangiwe madaraja, au majengo ya zahanati yasiyo na vifaa tiba wala dawa. Tulipigania Uhuru ili tuwe na Uhuru wa kufanya mambo yetu kwa Uhuru.
Kwa mapungufu haya Rais Magufuli wallah nawaapia hachaguliki. Ana maadui ndani na nje ya chama chake.
Hapiti NG'O! Najua mtaji wake na mategemeo yake makubwa ni mwenyekiti wa tume kumtangaza kwa nguvu kama livyofanyika kwenye chaguzi ndogo za ubunge wa Kinondoni na maeneo mengine.
Jihadharini!!
Tunajidai mbele ya mataifa kwa lipi? Huyo JPM mwenyewe kama anadhani ufundi uashi ni jambo la kujivunia mbona kagoma kutoka nchini utadhani pamekuwa chooni, si aende akajivunie huko kwa mabeberu, anaogopa waatanza kumuhoji maswala ya msingi.Kinachowauma ni nini mbona kama viwanja vya ndege kila mkoa vipo na siku hiz had wilayan vipo,,!!!
Vitu vingap Magufuli anavijenga yena nje ya chato mbona hamlalamiki...!!
Hoja yangu ni kupinga hiyo hoja uchwaro ya JPM kuwa mbinafsi...
Ni huyu ndo anatufanya TZ tujidai hata mbele ya mataifa mengne achana na Beberu mweusi anaetangaza bata kama vile ataleta debe la unga kwa familia
RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana).
Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na kutotaka kukosolewa. Na haya kwa ujumla wake ndiyo yamepelekea serikali na chama chake kufanya mambo ya hovyo kama ifuatavyo:-
(a) kutunga sheria kandamizi,
(b) kutekwa kwa watu hovyo,
(c) kuuawa kwa watu hovyo
(d) watu kupigwa risasi
(e) kuundwa kwa kikundi Cha watu wasiojulikana. Kwenye hili taarifa zilizopo ni kwamba ameiga mtindo wa serikali ya hayati Nkurunziza aliyekuwa na kikundi cha utekaji na mauaji kiitwacho "Mbonela kule".
(f) kuibuka kwa watu kama akina Musiba ambao wanatumia kodi zetu lkn kazi yao kubwa ni kutukana watu wa kila aina: - viongozi wastaafu, viongozi waliomo serikalini, viongozi wa upinzani, wafanyabiashar, n.k ili mradi tu wameonekana kutofautiana fikra na Magufuli. Who is Magufuli?? Ni Mungu? Hakuna atakayempa kura Magufuli.
(g) rais Magufuli ameanza kutugawa na kutubagua kwa misingi ya kisiasa
Na mengine mengi.
Watanzania hatukupigania Uhuru ili tuje tusimangiwe madaraja, au majengo ya zahanati yasiyo na vifaa tiba wala dawa. Tulipigania Uhuru ili tuwe na Uhuru wa kufanya mambo yetu kwa Uhuru.
Kwa mapungufu haya Rais Magufuli wallah nawaapia hachaguliki. Ana maadui ndani na nje ya chama chake.
Hapiti NG'O! Najua mtaji wake na mategemeo yake makubwa ni mwenyekiti wa tume kumtangaza kwa nguvu kama livyofanyika kwenye chaguzi ndogo za ubunge wa Kinondoni na maeneo mengine.
Jihadharini!!
Magu hafai kabisa tutafute rais mwingine tafadhali.RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana).
Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na kutotaka kukosolewa. Na haya kwa ujumla wake ndiyo yamepelekea serikali na chama chake kufanya mambo ya hovyo kama ifuatavyo:-
(a) kutunga sheria kandamizi,
(b) kutekwa kwa watu hovyo,
(c) kuuawa kwa watu hovyo
(d) watu kupigwa risasi
(e) kuundwa kwa kikundi Cha watu wasiojulikana. Kwenye hili taarifa zilizopo ni kwamba ameiga mtindo wa serikali ya hayati Nkurunziza aliyekuwa na kikundi cha utekaji na mauaji kiitwacho "Mbonela kule".
(f) kuibuka kwa watu kama akina Musiba ambao wanatumia kodi zetu lkn kazi yao kubwa ni kutukana watu wa kila aina: - viongozi wastaafu, viongozi waliomo serikalini, viongozi wa upinzani, wafanyabiashar, n.k ili mradi tu wameonekana kutofautiana fikra na Magufuli. Who is Magufuli?? Ni Mungu? Hakuna atakayempa kura Magufuli.
(g) rais Magufuli ameanza kutugawa na kutubagua kwa misingi ya kisiasa
Na mengine mengi.
Watanzania hatukupigania Uhuru ili tuje tusimangiwe madaraja, au majengo ya zahanati yasiyo na vifaa tiba wala dawa. Tulipigania Uhuru ili tuwe na Uhuru wa kufanya mambo yetu kwa Uhuru.
Kwa mapungufu haya Rais Magufuli wallah nawaapia hachaguliki. Ana maadui ndani na nje ya chama chake.
Hapiti NG'O! Najua mtaji wake na mategemeo yake makubwa ni mwenyekiti wa tume kumtangaza kwa nguvu kama livyofanyika kwenye chaguzi ndogo za ubunge wa Kinondoni na maeneo mengine.
Jihadharini!!
Kwa hapa jukwaani tundu lisu kashashinda lakini huku mtaani atakua mpenzi musindikizaji nawaambia mutaona, nyie mnashinda humu kupiga porojo wakati % kubwa ya watanzania hawapo mitandaoni kampeni zikiaanza rasimi jitokezeni kuongea na watu kwenye mikutano ya hadhara mpaka vijijini huko musije kusema mumeibiwa kura.
Mkuu tuliomo huku mitandaoni hatuishi humu. Nasi tunaishi mitaani, tunakula na tunaongea na majirani zetu. Kwahiyo nakutoa wasiwasi unachokiona humu ndiyo picha ya mitaani.
Lkn wamesahau kwamba mjusi akikimbizwa Sana hugeuka nyoka. Watanzania ni watulivu Sana lkn kwa ukandamizaji wa huyu jamaa wamemchoka. No more painAnadhani ukiingia mtandaoni unakuwa nje ya mtaa na nchi hivyo hujui uhalisia. Anachojivunia huko mtaani ni hofu iliyopandikizwa, kwamba watu hawathubutu kuweka hisia zao wazi kwa hofu ya kutekwa, kuuwawa na kuhujumiwa shughuli zao kupitia taasisi za kimamlaka kama TRA, polisi nk. Huo ukimya wa hofu huko mitaani, na watu kadhaa wapiga kelele za kumtukuza jiwe, ndio zinamfanya aone ccm inakubalika sana.
Duh, Kuna watu mtapata taabu Sana baada ya kushuhudia mafuriko ktk ushindi wa Magu🙆!Anadhani ukiingia mtandaoni unakuwa nje ya mtaa na nchi hivyo hujui uhalisia. Anachojivunia huko mtaani ni hofu iliyopandikizwa, kwamba watu hawathubutu kuweka hisia zao wazi kwa hofu ya kutekwa, kuuwawa na kuhujumiwa shughuli zao kupitia taasisi za kimamlaka kama TRA, polisi nk. Huo ukimya wa hofu huko mitaani, na watu kadhaa wapiga kelele za kumtukuza jiwe, ndio zinamfanya aone ccm inakubalika sana.
Mi nitakupigia sasa unauhakika gani hapiti wakati Kuna watu wengi tu tunamuunga mkono
Duh, Kuna watu mtapata taabu Sana baada ya kushuhudia mafuriko ktk ushindi wa Magu🙆!
Kama ingekuwa hivyo we ungeweza kumuunga Lissu hadharani?Watu mnaomuunga mkono mko huru maana hamna hofu ya kutekwa, kuhujumiwa shughuli zenu wala kuuwawa, hiyo ndio sababu mnaweza kujigamba hadharani na kudhani anakubalika sana. Ingekuwa wasiomkubali wanaweza kuonyesha hisia zao kama nyie, tungekuwa na hadithi tofauti.
Kama ingekuwa hivyo we ungeweza kumuunga Lissu hadharani?
kumiliki tume sio kumiliki akili za watu.Kama tume ni ya familia yako hapo sawa.
Yesu alikimbilia Misri ili asiuliwe na herode,Mussa alifichwa asiuliwe na farao then wote wakawakomboa watu wao, so kusudi la Mungu linaenda kutimia,thus safari hii walikiuka zindiko la kuukimbiza mwenge upumbazao akili za watz hivo watapiga kura kwa akili zao,pia mbabe wa wizi wa kura Mungu kampenda zaidi.Tunamtaka Tundu Lissu! Period. Tunataka kujuwa kwa nini Mungu kamuacha hai baada ya kupigwa risasi 38, kutotibiwa na Serikali, kutolipwa mshahara na Bunge na mwisho kunyang'anywa ubunge.