watz watakuja kuyaelewa hayo wakiwa wameliwa vya kutosha,Jiwe ni Dikteta hafai ,hiyo miradi anayoijenga ni kwa ajili ya kupiga pesa kupitia 10% na kampuni zake za Mayanga na Mecco ndio zinazofanya hizo kazi na kama hazipo basi zinachukua contractor halafu zinafanya sub wao wanakula cha juu.
nenda posta dar wanashindia mihogo ya kukaangwa na maji eti ndo lunch sasa hawa watakuawa na tija au hali gani ya kaziNaona umasikini hadi kwa watumishi wa umma .
Mnategemea tume kubaki madarakani! 😁😁😁Kama tume ni ya familia yako hapo sawa.
Tusiangalie itikadi zetu, tujiunge kwa pamoja kumsaidia kamanda Lissu tumpe Nchi ipige spana . Tupate nchi yenye mifumo mizuri ya sheria hata ikitokea wewe unakua Rais utaweza kutuongoza bila shida .Tumchague Nani Tena Ccm Hoyee
Wananchi wanakula mlo mmoja kwa siku na maisha yamekuwa hayaende .mtu mmoja mmoja Hali sio kimaisha ,kifedga,kibiashara, na wauzahi wamekuwa wengi kuliko wanunuzi,ajira hakuna,watu wanaishi maisha ya yoga,mishahara hakuna nyongeza,mazao hayana Bei sokoni.ongezea....RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana).
Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na kutotaka kukosolewa. Na haya kwa ujumla wake ndiyo yamepelekea serikali na chama chake kufanya mambo ya hovyo kama ifuatavyo:-
(a) kutunga sheria kandamizi,
(b) kutekwa kwa watu hovyo,
(c) kuuawa kwa watu hovyo
(d) watu kupigwa risasi
(e) kuundwa kwa kikundi Cha watu wasiojulikana. Kwenye hili taarifa zilizopo ni kwamba ameiga mtindo wa serikali ya hayati Nkurunziza aliyekuwa na kikundi cha utekaji na mauaji kiitwacho "Mbonela kule".
(f) kuibuka kwa watu kama akina Musiba ambao wanatumia kodi zetu lkn kazi yao kubwa ni kutukana watu wa kila aina: - viongozi wastaafu, viongozi waliomo serikalini, viongozi wa upinzani, wafanyabiashar, n.k ili mradi tu wameonekana kutofautiana fikra na Magufuli. Who is Magufuli?? Ni Mungu? Hakuna atakayempa kura Magufuli.
(g) rais Magufuli ameanza kutugawa na kutubagua kwa misingi ya kisiasa
Na mengine mengi.
Watanzania hatukupigania Uhuru ili tuje tusimangiwe madaraja, au majengo ya zahanati yasiyo na vifaa tiba wala dawa. Tulipigania Uhuru ili tuwe na Uhuru wa kufanya mambo yetu kwa Uhuru.
Kwa mapungufu haya Rais Magufuli wallah nawaapia hachaguliki. Ana maadui ndani na nje ya chama chake.
Hapiti NG'O! Najua mtaji wake na mategemeo yake makubwa ni mwenyekiti wa tume kumtangaza kwa nguvu kama livyofanyika kwenye chaguzi ndogo za ubunge wa Kinondoni na maeneo mengine.
Jihadharini!!
View attachment 1531753
Pole Mkuu.RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana).
Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na kutotaka kukosolewa. Na haya kwa ujumla wake ndiyo yamepelekea serikali na chama chake kufanya mambo ya hovyo kama ifuatavyo:-
(a) kutunga sheria kandamizi,
(b) kutekwa kwa watu hovyo,
(c) kuuawa kwa watu hovyo
(d) watu kupigwa risasi
(e) kuundwa kwa kikundi Cha watu wasiojulikana. Kwenye hili taarifa zilizopo ni kwamba ameiga mtindo wa serikali ya hayati Nkurunziza aliyekuwa na kikundi cha utekaji na mauaji kiitwacho "Mbonela kule".
(f) kuibuka kwa watu kama akina Musiba ambao wanatumia kodi zetu lkn kazi yao kubwa ni kutukana watu wa kila aina: - viongozi wastaafu, viongozi waliomo serikalini, viongozi wa upinzani, wafanyabiashar, n.k ili mradi tu wameonekana kutofautiana fikra na Magufuli. Who is Magufuli?? Ni Mungu? Hakuna atakayempa kura Magufuli.
(g) rais Magufuli ameanza kutugawa na kutubagua kwa misingi ya kisiasa
Na mengine mengi.
Watanzania hatukupigania Uhuru ili tuje tusimangiwe madaraja, au majengo ya zahanati yasiyo na vifaa tiba wala dawa. Tulipigania Uhuru ili tuwe na Uhuru wa kufanya mambo yetu kwa Uhuru.
Kwa mapungufu haya Rais Magufuli wallah nawaapia hachaguliki. Ana maadui ndani na nje ya chama chake.
Hapiti NG'O! Najua mtaji wake na mategemeo yake makubwa ni mwenyekiti wa tume kumtangaza kwa nguvu kama livyofanyika kwenye chaguzi ndogo za ubunge wa Kinondoni na maeneo mengine.
Jihadharini!!
View attachment 1531753
Utu umepotea tumebaki na vitu😳Pole Mkuu.
Ndo hivyo magu atashinda kwa % kubwa...hapa jf tunatiana moyo tu....ngoja niendelee na kazi niingize pesa kwanza MkuuUtu umepotea tumebaki na vitu[emoji15]
Kama tume ni ya familia yako hapo sawa.
Heri yako wewe mwenye kazi. Sisi wakulima koroaho zetu zilichukuliwa na huyu mgombea urais wa CCM 2017 mpk leo hatujalipwa..ngoja niendelee na kazi niingize pesa kwanza Mku
RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu,
Sawa SawaTusiangalie itikadi zetu, tujiunge kwa pamoja kumsaidia kamanda Lissu tumpe Nchi ipige spana . Tupate nchi yenye mifumo mizuri ya sheria hata ikitokea wewe unakua Rais utaweza kutuongoza bila shida .
Kwanza sio yepi ni yapi hicho ndo Kiswahili sahihi,,,Tunajidai mbele ya mataifa kwa lipi? Huyo JPM mwenyewe kama anadhani ufundi uashi ni jambo la kujivunia mbona kagoma kutoka nchini utadhani pamekuwa chooni, si aende akajivunie huko kwa mabeberu, anaogopa waatanza kumuhoji maswala ya msingi.
nirudi kwako, wewe ushaenda mataifa yepi kujidai? kwa lipi? labda ukajidai kwamba sisi ndio nchi pekee afrika tumejenga uwanja wa kiwango kile kijijini, na ndege zinatua pale si zaidi ya mara nne kwa mwaka.
umeenda mataifa yepi kujidai?
unamaanisha wale maraisi waliokuwa wakipandisha mishahara ya wafanyakazi walikuwa hawajengi nchi ?Msitegemee kupewa Urais kwa kuonewa huruma za risasi alizopigwa Lissu,,,
Aliyoyafanya JPM yanaonekana kwa macho na yanagusa maisha halisi ya mtanzania,,, ndo Rais pekee mwenye vision ya kuifikisha Tanzania mahali panapotakiwa, ni Rais pekee anae ijali Tanzania kama Tanzania bila kujali mabeberu wanasemaje
Sio kuongeza mishahara tu ki dezodezo.. acha aijenge nchi kwanza mambo ya mishahara baadae mbona kama kula mnakula vzuri tu!!!
Hebu muacheni bwana afungue fursa na kwa vijana ambao wanahitaji sana miradi hii inayoanzishwa wapate kujipatia ajira humohumo!!!
Bado tunamuamini JPM
Ndo maana kila anaeingia ana shabaha yake ya kufanya ndani ya miaka mitano,,, Just vision ya kiongoz husika!!!unamaanisha wale maraisi waliokuwa wakipandisha mishahara ya wafanyakazi walikuwa hawajengi nchi ?
Jibu swali languNdo maana kila anaeingia ana shabaha yake ya kufanya ndani ya miaka mitano,,, Just vision ya kiongoz husika!!!
Waliopita hawakuwa na shabaha hizi za magufuli ndani ya uongozi wao
Bado tunamuamini JPM