Uchaguzi 2020 Kwanini Rais Magufuli asichaguliwe tena

Uchaguzi 2020 Kwanini Rais Magufuli asichaguliwe tena

Jiwe ni Dikteta hafai ,hiyo miradi anayoijenga ni kwa ajili ya kupiga pesa kupitia 10% na kampuni zake za Mayanga na Mecco ndio zinazofanya hizo kazi na kama hazipo basi zinachukua contractor halafu zinafanya sub wao wanakula cha juu.
watz watakuja kuyaelewa hayo wakiwa wameliwa vya kutosha,
 
Kama kweli hili la kuteka, na kukatisha maisha ni jambo si jema hata kidogo, naamini anaweza leta maendeleo huku akiruhusu kukosolewa na kutoa uhuru kwa watanzania akiwalinda wao na mali zao. Kukosolewa hakuzuii kujenga flyover, sgr,bwawa la umeme, kununua ndege, kuhamia Dom, kutoa elimu bure, kuboresha afya, bali vitafanyika uenda kwa njia bora zaidi na shirikishi!
 
Tumchague Nani Tena Ccm Hoyee
Tusiangalie itikadi zetu, tujiunge kwa pamoja kumsaidia kamanda Lissu tumpe Nchi ipige spana . Tupate nchi yenye mifumo mizuri ya sheria hata ikitokea wewe unakua Rais utaweza kutuongoza bila shida .
 
Wan
RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana).

Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na kutotaka kukosolewa. Na haya kwa ujumla wake ndiyo yamepelekea serikali na chama chake kufanya mambo ya hovyo kama ifuatavyo:-

(a) kutunga sheria kandamizi,
(b) kutekwa kwa watu hovyo,
(c) kuuawa kwa watu hovyo
(d) watu kupigwa risasi
(e) kuundwa kwa kikundi Cha watu wasiojulikana. Kwenye hili taarifa zilizopo ni kwamba ameiga mtindo wa serikali ya hayati Nkurunziza aliyekuwa na kikundi cha utekaji na mauaji kiitwacho "Mbonela kule".
(f) kuibuka kwa watu kama akina Musiba ambao wanatumia kodi zetu lkn kazi yao kubwa ni kutukana watu wa kila aina: - viongozi wastaafu, viongozi waliomo serikalini, viongozi wa upinzani, wafanyabiashar, n.k ili mradi tu wameonekana kutofautiana fikra na Magufuli. Who is Magufuli?? Ni Mungu? Hakuna atakayempa kura Magufuli.
(g) rais Magufuli ameanza kutugawa na kutubagua kwa misingi ya kisiasa
Na mengine mengi.

Watanzania hatukupigania Uhuru ili tuje tusimangiwe madaraja, au majengo ya zahanati yasiyo na vifaa tiba wala dawa. Tulipigania Uhuru ili tuwe na Uhuru wa kufanya mambo yetu kwa Uhuru.

Kwa mapungufu haya Rais Magufuli wallah nawaapia hachaguliki. Ana maadui ndani na nje ya chama chake.

Hapiti NG'O! Najua mtaji wake na mategemeo yake makubwa ni mwenyekiti wa tume kumtangaza kwa nguvu kama livyofanyika kwenye chaguzi ndogo za ubunge wa Kinondoni na maeneo mengine.
Jihadharini!!
View attachment 1531753
Wananchi wanakula mlo mmoja kwa siku na maisha yamekuwa hayaende .mtu mmoja mmoja Hali sio kimaisha ,kifedga,kibiashara, na wauzahi wamekuwa wengi kuliko wanunuzi,ajira hakuna,watu wanaishi maisha ya yoga,mishahara hakuna nyongeza,mazao hayana Bei sokoni.ongezea....
 
RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana).

Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na kutotaka kukosolewa. Na haya kwa ujumla wake ndiyo yamepelekea serikali na chama chake kufanya mambo ya hovyo kama ifuatavyo:-

(a) kutunga sheria kandamizi,
(b) kutekwa kwa watu hovyo,
(c) kuuawa kwa watu hovyo
(d) watu kupigwa risasi
(e) kuundwa kwa kikundi Cha watu wasiojulikana. Kwenye hili taarifa zilizopo ni kwamba ameiga mtindo wa serikali ya hayati Nkurunziza aliyekuwa na kikundi cha utekaji na mauaji kiitwacho "Mbonela kule".
(f) kuibuka kwa watu kama akina Musiba ambao wanatumia kodi zetu lkn kazi yao kubwa ni kutukana watu wa kila aina: - viongozi wastaafu, viongozi waliomo serikalini, viongozi wa upinzani, wafanyabiashar, n.k ili mradi tu wameonekana kutofautiana fikra na Magufuli. Who is Magufuli?? Ni Mungu? Hakuna atakayempa kura Magufuli.
(g) rais Magufuli ameanza kutugawa na kutubagua kwa misingi ya kisiasa
Na mengine mengi.

Watanzania hatukupigania Uhuru ili tuje tusimangiwe madaraja, au majengo ya zahanati yasiyo na vifaa tiba wala dawa. Tulipigania Uhuru ili tuwe na Uhuru wa kufanya mambo yetu kwa Uhuru.

Kwa mapungufu haya Rais Magufuli wallah nawaapia hachaguliki. Ana maadui ndani na nje ya chama chake.

Hapiti NG'O! Najua mtaji wake na mategemeo yake makubwa ni mwenyekiti wa tume kumtangaza kwa nguvu kama livyofanyika kwenye chaguzi ndogo za ubunge wa Kinondoni na maeneo mengine.
Jihadharini!!
View attachment 1531753
Pole Mkuu.
 
.ngoja niendelee na kazi niingize pesa kwanza Mku
Heri yako wewe mwenye kazi. Sisi wakulima koroaho zetu zilichukuliwa na huyu mgombea urais wa CCM 2017 mpk leo hatujalipwa.

Juzi katokaLupaso bila haya anatuahidi kutulipa. Hivi kwa mtindo huu sisiwakulima tutatoboa kweli? Korosho za 2017 tunalopwa 2020?
Ndiyo unataka tumchague tena huyu?
 
RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu,

Mkuu unadhani hata hii miundombinu ya Dar basi kote hata ni hivyo?

Kwingine nyeti kabisa kupo hivi:

IMG_20200808_072959_630.jpg

Ndiyo sababu ya haya:

Lissu tembelea Rusahunga - Rusumo haraka iwezekanavyo
 
Tusiangalie itikadi zetu, tujiunge kwa pamoja kumsaidia kamanda Lissu tumpe Nchi ipige spana . Tupate nchi yenye mifumo mizuri ya sheria hata ikitokea wewe unakua Rais utaweza kutuongoza bila shida .
Sawa Sawa
Mifumo Ikiwa Sawa
Tutakula Mema Ya Nchi Sisi Sote
 
Tunajidai mbele ya mataifa kwa lipi? Huyo JPM mwenyewe kama anadhani ufundi uashi ni jambo la kujivunia mbona kagoma kutoka nchini utadhani pamekuwa chooni, si aende akajivunie huko kwa mabeberu, anaogopa waatanza kumuhoji maswala ya msingi.

nirudi kwako, wewe ushaenda mataifa yepi kujidai? kwa lipi? labda ukajidai kwamba sisi ndio nchi pekee afrika tumejenga uwanja wa kiwango kile kijijini, na ndege zinatua pale si zaidi ya mara nne kwa mwaka.

umeenda mataifa yepi kujidai?
Kwanza sio yepi ni yapi hicho ndo Kiswahili sahihi,,,

Bila shaka nabishana na mtu ambae sio mtanzania halisi

Ila uelewe tu,, East Africa countries wana muappreciate JPM kwa misimamo yake na yenye manufaa kwa nchi,,, not only that the way he handle the COVID19 pandemic!!!

Amereta heshima kwa nchinhana uoga ana udhubutu mkubwa kwa vile vyenye manufaa kwa nchi!!

Pamoja na propaganda zenu uchwara lakini Bado tunamuamini JPM
 
Msitegemee kupewa Urais kwa kuonewa huruma za risasi alizopigwa Lissu,,,

Aliyoyafanya JPM yanaonekana kwa macho na yanagusa maisha halisi ya mtanzania,,, ndo Rais pekee mwenye vision ya kuifikisha Tanzania mahali panapotakiwa, ni Rais pekee anae ijali Tanzania kama Tanzania bila kujali mabeberu wanasemaje

Sio kuongeza mishahara tu ki dezodezo.. acha aijenge nchi kwanza mambo ya mishahara baadae mbona kama kula mnakula vzuri tu!!!

Hebu muacheni bwana afungue fursa na kwa vijana ambao wanahitaji sana miradi hii inayoanzishwa wapate kujipatia ajira humohumo!!!

Bado tunamuamini JPM
unamaanisha wale maraisi waliokuwa wakipandisha mishahara ya wafanyakazi walikuwa hawajengi nchi ?
 
unamaanisha wale maraisi waliokuwa wakipandisha mishahara ya wafanyakazi walikuwa hawajengi nchi ?
Ndo maana kila anaeingia ana shabaha yake ya kufanya ndani ya miaka mitano,,, Just vision ya kiongoz husika!!!

Waliopita hawakuwa na shabaha hizi za magufuli ndani ya uongozi wao

Jibu swali langu
Unamaanisha marais wengine hawakujenga nchi?
 
Back
Top Bottom