Uchaguzi 2020 Kwanini Rais Magufuli asichaguliwe tena

L
Ulitaka ajenge kwenu???

Mbona termina 3 ipo dar na SGR ipo dar to moro,, mbona mradi wa umeme upo morogoro!! Hana ubinafsi wewe ndo mwenye ubinafsi

Bado tunamuamini JPM
Labda wewe na familia yako.
 
Tusiangalie itikadi zetu, tujiunge kwa pamoja kumsaidia kamanda Lissu tumpe Nchi ipige spana . Tupate nchi yenye mifumo mizuri ya sheria hata ikitokea wewe unakua Rais utaweza kutuongoza bila shida .
Maneno mazuri yenye kujenga nchi na siyo kubomoa
 
Double standard kwenye maamuzi ya watawala, kuna watu wametumbuliwa kisa hawana vyeti, lkn kuna watu wameachwa kisa wanajua kufanya kazi lkn vyeti hawana!

Hili jambo ndiyo litaitoa ccm madarakani lipo mioyoni kwetu linatukereketa sana, ccm ndiyo mwisho wake mwaka huu.
 
Ndo hivyo magu atashinda kwa % kubwa...hapa jf tunatiana moyo tu....ngoja niendelee na kazi niingize pesa kwanza Mkuu
Jiandaeni kisaikolojia maana Lissu atawashangaza na itabidi mrudi makwenu mliko zoea maana kwa kuishi mijini hamtaweza tena
 
Ndo maana kila anaeingia ana shabaha yake ya kufanya ndani ya miaka mitano,,, Just vision ya kiongoz husika!!!

Waliopita hawakuwa na shabaha hizi za magufuli ndani ya uongozi wao

Bado tunamuamini JPM
Tuna imani kubwa sana na mh Lissu
 
Jiandaeni kisaikolojia maana Lissu atawashangaza na itabidi mrudi makwenu mliko zoea maana kwa kuishi mijini hamtaweza tena
Umekariri Mkuu unafikiri wote ni wajinga.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mabaya mengi, mazuri machache mno. Inatosha
 
Ilikuwaje yule kibaka aliyemchomolea bwana mdogo nape bastola hadharani hasichukuliwe hatua yoyote ?
 
Ulitaka ajenge kwenu???

Mbona termina 3 ipo dar na SGR ipo dar to moro,, mbona mradi wa umeme upo morogoro!! Hana ubinafsi wewe ndo mwenye ubinafsi

Bado tunamuamini JPM
Angejenga Geita mjini angeeleweka,muone aibu kutetea baadhi ya mambo, amejitakia haya.
 
Mkirudia kosa hamtolipwa milele
 
Ndo maana kila anaeingia ana shabaha yake ya kufanya ndani ya miaka mitano,,, Just vision ya kiongoz husika!!!

Waliopita hawakuwa na shabaha hizi za magufuli ndani ya uongozi wao

Bado tunamuamini JPM
Huwezi walaza njaa wanao na kuwanyima haki zao kwa kigezo Cha kufanya maendeleo huku wanakuona unahonga,unalewa na kununulia wengine.
 
Huyo jamaa picha anaetoa binduki ni fala sana
 
Me nachofurahi kifo kipo la sivyo wenye pesa wangetutesa sana

We fanya yote iba uwezavyo ila mwisho wako utafika tutakuzika au watakuzika....lets wait and see
 
walioko hapa ndo wako mtaani
 
Kinachoniuma nilimpa kura yangu, hii inanisumbua mpaka kesho, najuta sana! Na Hatapita namlaani moja kwa moja... Mtaona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…