Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,074
Ni swali tu.
Makampuni ya Kitanzania ni mangapi yaliyowekeza Kenya? Na ni uwekezaji wenye thamani ya dola ngapi? Ajira ngapi zimeundwa kwa raia wa Kenya?
Haya mambo ya kutoa takwimu za upande mmoja tu yamepitwa na wakati.
Ujumbe umfikie Mheshimiwa Rais. Huu ushirikiano ni wa nchi mbili. Ukitaja upande mmoja taja na mwingine. Au sisi wabongo kazi tu ni kupokea wawekezaji tu? Ina maana uhusiano wetu na Kenya ni wa Investor-Recipient na siyo as equal partners?
Nawasilisha.