mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Hivi Maraisi wa Africa wana shauriwa kweli? Museveni Raisi wa uganda kafungua shule zuri ya kisasa Mkoani Geita wilaya ya Chato elio jengwa kwa gharama za serikali ya uganda kwa pesa ya walipa kodi ya waganda, wakati Tz aliko jenga hiyo shule ina afuenu katika miundombinu ya shule kuliko Uganda.
Nini lengo la Museveni kunyima waganda shule nzuri na kuja kuijenga Tz?
Museveni analenga nini kupata kutoka Tz?
Hizi ndo hari ya baathi ya shule za sarikali kule nchini uganda
Nini lengo la Museveni kunyima waganda shule nzuri na kuja kuijenga Tz?
Museveni analenga nini kupata kutoka Tz?
Hizi ndo hari ya baathi ya shule za sarikali kule nchini uganda