Kweli kabisa hiyo kitu imeegemea kwenye diplomasia.Na diplomasia ni mchongo Sana kwa national intereste than one person interesteUpeo wako ni mdogo sana kwenye tasnia ya diplomasia mkuu ! si kwamba Watanzania hatuna uwezo wa kuijenga shule kama hiyo la-hasha bali ni kujenga undugu na kumbukumbu baina ya haya mataifa mawili katika nyanja zote iwe kiuchumi,kisiasa na kijamii ! That's just a gesture that we need to enhance our regional cooperation